ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Punguza kuwashwa, vp Okwa, na Akpan mlinunua eBay au Amazon?Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za Kitanzania, hivyo kufanya jambo la kuondoka kuwa gumu na huenda akasalia mitaa ya Jangwani.
My Take
Niliwaambia huku ni kununua bidhaa mitandaoni.