Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

"The Dark Side of Business"... mwisho wa mwaka !

-Kaveli-
 
Kweli haya ni mahesabu ya kumalizia mwaka. Maana kila mahali ajali kweli au ndiyo uzembe wa mdeleva tu.
 
Inasikitisha sana watu wanakufa na kuacha msyatima na wajane na wengine wanakuwa vilema

Magufuli aliwezaje kudhibiti hizi ajali na hawa wanashindwaje

R.I.P jembe Magufuli
Watu wenye maono ya mbali wanakukumbuka sana
 
Back
Top Bottom