Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Kutoka kwa mtu wa kampuni ya KABCO ni kwamba ajali ilitokea Jana majira ya 8 mchana ambapo walimpilizisha mtoto 1 wa shule kituo ikabidi wasimame kwenye kelele Cha mlima Simba ili mtoto yule apandishwe kwenye coaster iliyokuwa ikitokea Bukoba kuja Biharamulo Sasa kitendo Cha kusimama na konda kishuka na yule dogo chuma ikaapoteza upepo na kuanza kurudi nyuma kwa Kasi Sana. Taarifa za informer wa KABCO ni kwamba kulikuwa na excess ya zaidi ya watu 20 waliosimama na Hadi Sasa maiti ni zaidi ya 27. Tuwaombee marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi wapone haraka
Dereva kapata fahanu asb hii na waziri Bashungwa kafika eneo la tukio saa 4 usiku wa jana
 
Una bifu na wahaya mkuu?
ina maana magari mapya hayapati ajali?
Sina bifu ila huwa nawashangaa gari inajulikana spana mkononi kuna wakati safari ya Kigoma - Bukoba wanalala njiani. Sasa miaka hii kweli safari ya Mkoa jirani unapanda badi lisilo na uhakika wa kukufikisha nyumbani siku moja?? Na halina backup ya kufaulishwa?? Eti kisa mmliki, dereva na konda ni kabila lenu??
 
Asee kuna nyingine ime tokea apa chinangari dodoma ma lory yame pigana busu uso kwa uso, Vyuma alivyo beba mmoja vime toboa vika tokea mbele ya kioo 🥲🥲
 
Kutoka kwa mtu wa kampuni ya KABCO ni kwamba ajali ilitokea Jana majira ya 8 mchana ambapo walimpilizisha mtoto 1 wa shule kituo ikabidi wasimame kwenye kelele Cha mlima Simba ili mtoto yule apandishwe kwenye coaster iliyokuwa ikitokea Bukoba kuja Biharamulo Sasa kitendo Cha kusimama na konda kishuka na yule dogo chuma ikaapoteza upepo na kuanza kurudi nyuma kwa Kasi Sana. Taarifa za informer wa KABCO ni kwamba kulikuwa na excess ya zaidi ya watu 20 waliosimama na Hadi Sasa maiti ni zaidi ya 27. Tuwaombee marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi wapone haraka
Dereva kapata fahanu asb hii na waziri Bashungwa kafika eneo la tukio saa 4 usiku wa jana
RPC Kagera,ni mjinga sana!
Lile bus,lilikuwa limebeba zaidi ya abiria 100.
 
Huzuni
 
Ajali ya Basi la Kabco: Wito wa Kuwawajibisha Wanafanyakazi wa Serikali

Katika eneo la Mlima Simba, Biharamulo, ajali ya basi la Kabco imesababisha vifo vya zaidi ya abiria 40, huku ripoti zikisema kwamba abiria waliokuwepo walikuwa zaidi ya 100, licha ya basi hilo kuwa na uwezo wa kubeba abiria 50 pekee. Hali hii inadhihirisha ukosefu wa uzito katika usimamizi wa usalama wa abiria na viwango vya usafiri nchini.

Msingi wa Tukio

Ajali hii, ambayo imetokea hivi karibuni, imesababisha huzuni kubwa katika jamii na kuibua maswali mengi kuhusu udhaifu wa viongozi wa serikali. Hali ya kutokuwepo kwa uangalizi wa kutosha ni sababu mojawapo iliyosababisha ajali hii kutokea. Ni wazi kwamba kuna haja ya kuwawajibisha wahusika wote kama vile RPC wa Mkoa wa Kagera, RTO wa Kagera, RC wa Kagera, DC wa Biharamulo, OCD wa Biharamulo, na DTO wa Biharamulo. Wote hawa wanapaswa kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa sababu ya kutokuwa na ufanisi katika kazi zao.

Ushahidi wa Uzembe

Kuanzia katika hatua za udhibiti wa magari, mpaka kwenye kuhakikisha usalama wa abiria, wahusika wameonyesha uzembe mkubwa. Wakati ambapo serikali inapaswa kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti usafiri wa abiria, hatua zinazochukuliwa ni dhaifu na haziendani na mahitaji halisi ya usalama. Wakati wa uchunguzi wa ajali hii, ilibainika kuwa basi lilikuwa limebeba abiria zaidi ya uwezo wake, jambo ambalo linaashiria uvunjaji wa sheria za usafiri.

Wito wa Hatua

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, ajali hii inapaswa kuwa kipande cha somo kwa viongozi wote wa serikali. Wito huu ni kwamba, viongozi hawa wanapaswa kuwajibishwa mara moja. Uzito wa ajali hii unahitaji hatua za haraka, na sidhani kama hatua hizo zitaweza kuchukuliwa bila kuwawajibisha wahusika. Ni lazima kuwe na mfumo wa uwajibikaji ili kuhakikisha kuwa ajali kama hizi hazitokei tena.

Pia, kuna umuhimu wa kuimarisha elimu kuhusu usalama wa barabarani, hususan kwa abiria na madereva. Serikali inahitaji kuwekeza zaidi katika mafunzo kwa madereva, ili waweze kuelewa umuhimu wa kufuata sheria za usafiri. Aidha, abiria wanapaswa kufundishwa kuhusu haki zao na wajibu wao, ili waweze kuwa sehemu ya suluhisho katika kuboresha usalama wa usafiri.

Hitimisho

Ajali ya basi la Kabco ni kielelezo cha udhaifu wa usimamizi wa usafiri nchini. Wakati huu, ni vyema viongozi hawa wa serikali wachukue hatua za haraka na kuondolewa kazini ili kuonyesha kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Ni muhimu kwa jamii kuendelea na wito huu wa uwajibikaji, kwani maisha ya watu ni ya thamani na yanapaswa kulindwa kwa gharama yoyote.

Wakati tukiangalia matukio haya, tunapaswa kukumbuka kwamba kila kifo ni hasara kubwa kwa familia na jamii kwa ujumla. Serikali inapaswa kuzingatia umuhimu wa kuhakikisha usalama wa abiria na kuimarisha mifumo ya usafiri ili kuepusha maafa kama haya kwenye siku zijazo.
 
RPC Kagera,ni mjinga sana!
Lile bus,lilikuwa limebeba zaidi ya abiria 100.
Inawezekana maana informer anasema excess ilikuwa abiria wa kutosha kifupi vifo ni vingi wanakura rushwa tu hao Polisi na kipindi hiki ndo balaaa kwamba iende irudi itawezekana nyuma ilileta gari kulemewa maana mabasi mengi hu adjust brake na kuacha gap gari isisote kwa madai kufanya isi jam brake so nadhani ndo hayo sasa
 
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa,baada ya kufika hospitalini

Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba

Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu kwenye kona yenye mteremko mkali liliacha njia na kupinduka mara kadhaa hadi kipande cha juu cha bus kuondoka

Updates

Watu kumi na moja wamefariki na zaidi ya 20 ni majeruhi taarifa kutoka kwa mganga mkuu wa hospitali ya Biharamulo
USSR
View attachment 3181876View attachment 3181877
Kuna kupona kweli hapo..
 
Waziri Bashungwa njoo ujionee matamko hayatoshi Mkuu..polisi wa barabarani ni sikio la kufa, haliambiliki, wanachukua mno rushwa, madereva hawaogopi wanajua wakidakwa elfu 10 inatosha sasa fikiria bus linaingiza shi ngapi hata ashindwe kumwaga ten ten kila kituo, huku anamwaga moto mwanzo mwisho ? Speed kills na hawa watu walitakiwa wafungwe vifungo vya maisha na kunyongwa kama wauwaji wengine! R.I.P Innocent Souls.
 
RPC wa mkoa wa Kagera, Chatanda ni kaka wa Mary chatanda,ambaye Mwenyekiti wa UWT Taifa.
Anafanya kazi kwa mazoea na amepewa cheo kwa sababu ya dada yake.
CCM ni laana
 
Hivi wamiliki wa hzo gari wanajisikiaje wanapopata habari kama hzi.....!!?

Biashara zengine zinahitaji roho ngumu za kishetani..
 
IGP afanya mabadiliko kikosi cha usalama barabarani, amuhamisha bosi wa trafiki, amesahau,kuwafukuza KAZI RPC Kagera na RTO wake
Jumapili, Desemba 22, 2024
 
IGP kushindwa kutimiza majukumu yake,wananchi wanatakiwa wafanyeje ili waweze kumfukuza kazi?
 
Pole sana kwa watu wote waliofikwa na-
kadhia hiyo.
 
Back
Top Bottom