Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Janja arts wadunda ardhi ya MolaKutokana na hizo picha huenda ni jioni saa 10 hivi. Mungu awarehemu. This is so sad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Janja arts wadunda ardhi ya MolaKutokana na hizo picha huenda ni jioni saa 10 hivi. Mungu awarehemu. This is so sad.
Unaona hilo basi halina mtu wameshatoka wote zamani.Aisee basi limekua kama open roof 🙄🙄 Mungu awajaalie watoke salama🙏
YeahShabiby 🐼
Alijaribu kufuatia Moto wa Okalla wa Kiswele
🤣😆 halafu ndiyo wasomi wakuu Tanzania nzima Afrika Mashariki na Katiutakuta basi limeharibika njia ya Kigoma -Kibondo na wapo confortable tu wanasubiri fundi anatengeneza waendelee na safari.
Watoke wakiwa salama ndiyo nilichomaanishaUnaona hilo basi halina mtu wameshatoka wote zamani.
Chuma imeisha, Mungu awape faraja familia za wahangaNi ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa,baada ya kufika hospitalini
Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba
Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu kwenye kona yenye mteremko mkali liliacha njia na kupinduka mara kadhaa hadi kipande cha juu cha bus kuondoka
Updates
Watu kumi na moja wamefariki na zaidi ya 20 ni majeruhi taarifa kutoka kwa mganga mkuu wa hospitali ya Biharamulo
USSR
View attachment 3181876View attachment 3181877
Una bifu na wahaya mkuu?Hili basi huwa ni bovu lakini wahaya ulikuwa huwaambii kitu Advanture alipeleka gari mpya wahaya hawapandi ikabidi afute route ya Kigoma -Bukoba. Walipenda basi lao kampuni KABCO kwakuwa kuanzia dereva na makonda ni watu wahaya. RIP wapendwa wetu.
Wale wale!Kwani tupo kwenye mtihani?? Dhima ya mwandishi ni kujua kuandika au kutoa taarifa??
Kunguniwee..
Nakumbuka Madereva wa Kipindi ile Kiswele Kuna Rwambo, Yogi na Okalla, Ukienda Tawaqal yuko Giriki na ukija Special Coach unawakuta John Africa na MapundaYeah
Nashukuru umenikumbusha mkuu
Juzi natoka Dodoma...basi linaendeshwa ovyo na speed kama zote....aisee nilimuona traffic nikamuita aisee amuonye dereva aisee...spendi ujinga mimiJana nimefanya safari kutoka DAR -DODOMA Huko njiani nimeona sinema zinazochezwa na mabus ni hatari sana, huku barabarani kuna maisha mengine kabisaa. Traffic wa nchi hii wapo Kwaajili ya magari madogo tu
Tusikiteke mara ngapiInasikitisha sana
Mimi huwa nawaonya wakikaidi napiga simu LATRA kuwauliza kuwa muda huo hiyo gari ilitakiwa iwe imefika wapi na kwasasa imefika wapi kwa speed inayotakiwa? Then traffic akisogea karibu na gari namsomesha hadi anaona aibu.Juzi natoka Dodoma...basi linaendeshwa ovyo na speed kama zote....aisee nilimuona traffic nikamuita aisee amuonye dereva aisee...spendi ujinga mimi
Dereva na konda wake walimind lakin waliendesha kwa tahadhali kule mbele