Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Hii habari sina uhakika nayo kama ni Nchi hii.
Unaumwa wewe mbunge wa Biharamulo aliwatembelea majeruhi katika hospitali ya wilaya ya Biharamulo

USSR
IMG-20241221-WA0011.jpg
 
Hili basi huwa ni bovu lakini wahaya ulikuwa huwaambii kitu Advanture alipeleka gari mpya wahaya hawapandi ikabidi afute route ya Kigoma -Bukoba. Walipenda basi lao kampuni KABCO kwakuwa kuanzia dereva na makonda ni watu wahaya. RIP wapendwa wetu.
 
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa,baada ya kufika hospitalini

Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba

Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu kwenye kona yenye mteremko mkali liliacha njia na kupinduka mara kadhaa hadi kipande cha juu cha bus kuondoka

USSR
View attachment 3181876View attachment 3181877
Imenikumbusha ajali moja mbaya ilitokea kona za Lukumburu Songea, nimesahau jina la bus ila ilifumuka kama hiyo na iliua karibu abiria wote, ile sehemu pamejengwa mnara
 
Aliyeandika hii habari huenda hana D mbili
Haiwezekani anasema haijawahi tokea ndani ya miaka 10 kama hii halafu hajaandika taarifa kamili....

Kwani huko ni mchana mbona picha jua bado lipo na mpaka sasa hakuna media imeripoti breaking news
 
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa,baada ya kufika hospitalini

Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba

Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu kwenye kona yenye mteremko mkali liliacha njia na kupinduka mara kadhaa hadi kipande cha juu cha bus kuondoka

USSR
View attachment 3181876View attachment 3181877
Aiseee😰
 
Tribalism tu wanajuwa kabisa gari bovu na huwa linaharibika mara kwa mara njiani lakini utakuta basi limeharibika njia ya Kigoma -Kibondo na wapo confortable tu wanasubiri fundi anatengeneza waendelee na safari.
Hao jamaa Mungu amewapa vitu vya ubinafsi flani hivi,special fake flan hivi
 
Back
Top Bottom