Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ifike hatua dereva anaekuwa involved kwa issue kama hizi ni kufutiwa leseni ikiwa hajafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifungo cha miaka 5 jela bila fainiIfike hatua dereva anaekuwa involved kwa issue kama hizi ni kufutiwa leseni ikiwa hajafa.
Hatuko kwenye uandishi hili Jambo la kuhuzunisha, una kichaa!Rejea darasani na mtake Mwalimu wako wa Kiswahili akufunze upya.
Ukweli ni kwamba, WEWE SI MWANDISHI HODARI-HUJUI KUANDIKA!
Nuna ama nitukane ukipenda.
Ninyi ccm mna matatizo sana,mbona hakuna mahali mtoa habari alipojiita ”Mwandishi Hodari”?hiyo sifa umempa wewe halafu unamtukana nayo.Rejea darasani na mtake Mwalimu wako wa Kiswahili akufunze upya.
Ukweli ni kwamba, WEWE SI MWANDISHI HODARI-HUJUI KUANDIKA!
Nuna ama nitukane ukipenda.
11 palepale, na zaidi ya 10 ni majeruhi, ila ni uzembe wa dreva, eti alisimama kwenye mteremko mkali baada ya kuona gari jingine ili kupakiza mtoto akiyempitisha kwenye kituo chake ndipo gari likaanza kuserereka mpaka kubiduka hivyo.Mungu angewajalia wasipate ajali kabisa ingekua vizuri zaidi.
Kweli kabsa, hapa tatizo ni vyombo vyetu vya usalama.Mabasi ni mabovu, dereva wa basi safari ndefu ni mmoja, traffic wanakusanya Chao na kwenda makwao, LATRA hawafuatilii mabasi!
Wabunge wawe wanapanda mabasi ya kwrnda kwenye majombo yao!