- Thread starter
- #141
Hatuna shida ushindi ni lazima 28 October 2020! Tunachotaka sasa ni kuongeza tu asilimia zifike 95% wapinzani waambulie 5%.
Wanasema asiyekubali kushindwa si mshindani:
Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani"
Vipi mkuu mnampango wa kukwiba uchaguzi?
Vipi mmeshatamka kuwa nanyi inahitajika uchaguzi ulio huru na haki? Au ni porojo tu?
Ila fahamuni safari hii atakaye shindwa na ashindwe kwa haki katika uchaguzi huru. Vinginevyo ICC itamhusu mtu.