Uchaguzi 2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.

Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?

Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!

Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!

Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!

Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:

View attachment 1572352

Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.

Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.

Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.

Amazing!

Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:

View attachment 1572353

View attachment 1572354

Maendeleo hayana chama:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Ninawasilisha.
Mbona alipokuwa Mara hakwenda Tarime, mbona hukusema KAIKACHA TARIME!? Wacheni habari za kubumba hazikusaidii wala hazisaidii chama chako!
 
Wakuu nani mwenye kakideo ka pale bukopa meko akiteta na wanabukoba?
 
Niliona umeweka ile mliosimamishwa na ya Biharamulo n.k nikajua unaweza kutuletea zote nilizoomba at za Kigoma, Kagera, Katavi,Rukwa Tabora na Lindi, Ntwara etc

Unakuwa mtu wa kudhani dhani sana mkuu.

Hakuna picha ya Biharamulo hapo labda kama unamaanisha nyantakara iko wilaya ya Biharamulo.

Tafadhali usinipe kazi zisizo zangu hiyo ndiyo busara ya daraja la chini tu ambayo kama binadamu tu mtu unatarajiwa kuwa nayo.
 
Mbona alipokuwa Mara hakwenda Tarime, mbona hukusema KAIKACHA TARIME!? Wacheni habari za kubumba hazikusaidii wala hazisaidii chama chako!

Hujui kwa nini sikusema ya Tarime?

Jifunzeni kushirikisha ubongo mnaposoma mada na hata kutoa maoni:

"Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo."

Mliambiwa kuja kujibu hoja. Someni kuelewa vinginevyo mnavyoleta ni viroja tu.

Kwa hivi ni dhahiri hata yale malipo yenu pendwa katu hamstahili.
 
Unakuwa mtu wa kudhani dhani sana mkuu.

Hakuna picha ya Biharamulo hapo labda kama unamaanisha nyantakara iko wilaya ya Biharamulo.

Tafadhali usinipe kazi zisizo zangu hiyo ndiyo busara ya daraja la chini tu ambayo kama binadamu tu mtu unatarajiwa kuwa nayo.
Soma vizuri nimeandika mliposimamishwa na biharamulo
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.

Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?

Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!

Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!

Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!

Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:

View attachment 1572352

Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.

Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.

Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.

Amazing!

Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:

View attachment 1572353

View attachment 1572354

Maendeleo hayana chama:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Ninawasilisha.
Hii map yako haina biharamulo?? Na hapo mliposimamishwa?? Na sehemu zingine ?? Any way ngoja nikuache kama ulivyo
 
Nimekuuliza kistaarabu hiyo inakwenda wapi ? Kimya maana kwa mipakani, mpaka wetu na Rwanda via Rusumo, we Uganda via Mtukula, lazima tuwe na priority na tuwe focus tume maliza hizo, kuna za Kigoma, Katavi,Rukwa , Tabora -Katavi , Tabora -Mbeya, Singida-Tabora , Simiyu - Singida, Simiyu-Mza n.k .
Kuna ya Lupaso kuna za mbinga to mbambabay n.k
Halafu nyinyi mtasema Kigoma imesahaulika, au barabara fulani imeeachwa n.k.
Mind u priorities zetu ilikuwa na countries roads na ,regional roads kwanza , then district road, n.k
Na Mimi kuomba kwangu hizo ramani ni ktk kukazia ujenzi wa barabara hizo kufuatana na umuhimu wake na pia Rome was not built in one day , Sasa wewe endelea na story zako za Instagram au fb

Kama hadi sasa huoni utofauti wa barabara ya rusahunga- Rusumo na barabara za Tabora, then obviously you are on a very wrong forum indeed!
 
Soma vizuri nimeandika mliposimamishwa na biharamulo

Hakuna cha kusoma vizuri hapo. Haipo picha yoyote ya Biharamulo. Picha zote ni za nyantakara ambayo iko wilaya ya Biharamulo.

Acha kurukia rukia picha na kujiaminisha ni za huko unakotaka wewe ziwe.
 
Hii map yako haina biharamulo?? Na hapo mliposimamishwa?? Na sehemu zingine ?? Any way ngoja nikuache kama ulivyo

Ukielewa wewe nyani wataamia ngedere mashambani.
 
Mnachekesha sana - yaani ku-down load Google map ndio ujifanye wewe ni mega smart cartographer (it may sound Greek 2U), sasa sikiliza - agree to disagree without offending anyone.

Now,fast forward - FYI Dr.Magufuli knows barabara zote unazo zungungumzia like back of his hand - kazisimamai yeye kwenye ujenzi alipokuwa Waziri, siku nyingine alikuwa analazimika kulala porini akisimamia ujenzi wa barabara na madaraja - hivi sasa halazimiki kupitia kila bits and pieces za barabara zenye changa moto,ana vyombo vya intelligesia vinavyo weza kupatia taarifa zenye mshiko na akazifanyia kazi

Binafsi nataka niwapatie ushauri wa bure, mnaonaje mkitumia Mega Calories zetu mkijinadi badala ya kumbeza beza Dr.Magafuli ambaye ni light years ahead of you - au nyinyi hilo hamulioni? Kwa maneno mengine, leteni mikakati/sera zenu mbadala muone kama kuna any level headed person atawapigia kura ya kwenda Ikulu.

Ujinga mzigo. Vyenu ni viroja. Mlitumwa kwa buku 7 kujibu hoja.

Umeona hii mada ina nini cha kufanya na Google mburura kamili wewe? Au wewe ndiyo unataka kujifanya unajua sana kutengeneza mabarabara?

Liko huko la rusahunga rusumo kama huwezi kamwambie babu yako mwaka huu ataula wa chuya!

Huyu anayepiga Kona tuachieni sisi. Huyo halali yetu Oct 28.

Ameshindwa ku meet very minimum expectations zetu na ndiyo kilicho kwenye mada. Nothing more and nothing less.

We shall meet him that Wednesday at our best.
 
SOMA RATIBA YA TUME LEO 17/9/2020 NA KESHO 18/9/2020 MAGUFULI ANATAKIWA KUHUTUBIA MIKUTANO MKOA WA KIGOMA, AKIVUNJA SHERIA MTASEMA NI DIKITETA. SUBIRINI MNYOLEWE
Ratiba unapeleka mwenyewe tume haiwezi kukulazimisha sehemu ambayo hautaki kwenda
 
Nionavyo mimi Rais wetu anastahili kuwa rais wa marekani, rais wa marekani huwa haongelei vitu vidogo vidogo, vitu kama hivvyo uongelewa na magavana wa majimbo. yeye ataongelea miradi mikubwa inayowahusu wamerakani wote mfano usalama, bima ya afya, kwenda anga za mbali, kuivamia nchi flani/ korea nk
 
Oct. 28 ataujua vyema u rais wa marekani.
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.

Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?

Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!

Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!

Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!

Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:

View attachment 1572352

Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.

Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.

Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.

Amazing!

Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:

View attachment 1572353

View attachment 1572354

Maendeleo hayana chama:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Ninawasilisha.
Endesha lori lako nenda zako kwani anapita kila sehemu??
 
Huko kuna wakimbizi na maguleneti yenu msije leta hatari ya kumuua Rais wetu. Lazima mkae mbali mwamba apite.
 
Endesha lori lako nenda zako kwani anapita kila sehemu??

Nikadhani kule kwenye changamoto kunakomhitaji kulikuwa ni kipaumbele?

Niendesha Lori kwenda Lupaso?

Mamburura kweli nyie. Mliambiwa kujibu hoja. Kwa hivi viroja hamstahili hata hizo buku 7.

Hamumsaidii lolote na Oct 28 wanakwenda na maji.
 
Hatuna shida ushindi ni lazima 28 October 2020! Tunachotaka sasa ni kuongeza tu asilimia zifike 95% wapinzani waambulie 5%.
 
Back
Top Bottom