Uchaguzi 2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

Hawa ni wapuuzi wapuuze tu
Mkoje lakini? Nani kawambieni Dr.Magufuli analazimika kufanya kampein kwenye Wilaya zote za Mikoa anayo tembelea? Mbona hamlalamiki kwamba hakwenda Wilaya ya Karagwe why pick on Ngara!!

Mnapenda penda sana kukuza kuza mambo madogo madogo kwa kuwa hamna any substance to talk about mnapokuwa kwenye kampein za vyama vyenu - chukulia mfano was Lisu wa kusema eti reli ya TAZARA hipo kwenye kundi la SRG!! Nani anaweza kuchukulia kauli zenu seriously - NANI?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.

Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?

Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!

Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!

Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!

Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:

View attachment 1572352

Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.

Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.

Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.

Amazing!

Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:

View attachment 1572353

View attachment 1572354

Maendeleo hayana chama:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Ninawasilisha.
Watu wa rusahunga ange waambia nini juu ya ubovu wa barabara ya kutokea Nyakanazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi wasafiri wa mabasi, a delay of 3 hrs..!!! Standstil ya 3 hrs na unatakiwa kufika dar, aisee dat is hell delay dat u cant recover hata iwaje
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.

Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?

Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!

Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!

Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!

Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:

View attachment 1572352

Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.

Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.

Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.

Amazing!

Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:

View attachment 1572353

View attachment 1572354

Maendeleo hayana chama:

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Ninawasilisha.

Jirani yangu wewe kumbe
 
Jirani yangu wewe kumbe

Mkuu ni uzalendo tu hata Lupaso nilitingwa tu. Ila JKNIA na uhuru kwa Nkapa (rip) msema kweli mpenzi wa Mungu nilitia timu.

Kwa nini kusubiria kusimuliwa?

Kwanini kuandikia mate?
 
Mgombea wa CCM pale ngara ameshashinda anasubiri kuapishwa tu so kwenda kule ni kupoteza muda tu chama kwa sasa kimefokasi kwenye maeneo yenye upinzani zaidi.
Ccm kuna sehemu wanapata upinzani? Acha uongo mkuu
 
Bora akache tu , huko siyo rahisi kuwakusanya watoto wa shule.
 
Back
Top Bottom