- Thread starter
- #41
Ukitaka kuuza madawa ya kulevya ruksa ,
Ukitaka kuuza silaha nayo ruksa yaani wewe hata kuiba iba tu serikali itakulinda.
Hii kawadanganyeni ndege warukao angani. Hata watoto wadogo watawang'amua kuwa kweli nyie ni misukule!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kuuza madawa ya kulevya ruksa ,
Ukitaka kuuza silaha nayo ruksa yaani wewe hata kuiba iba tu serikali itakulinda.
Mwulize jiwe kama atakwambia ni upuuzi mpuuzi wewe.
Hivi wewe ndiyo ulikuwa kwenye ule mfano namna ya ku ignore wapuuzi? Au yule alikuwa Soviet Union na siyo wewe?
Mateso yote mliyoyapata, bado kuna mataahira yatampigia kura
UNAZUNGUMZIAJE KUZOMEWA KWA MEKO? Kagera??MPAKA TBCCM KUKATA MATANGAZO???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eagle vipi WANAMZENGO wanasemaje??[emoji41][emoji41][emoji41]
Kumbe ni kweli mwalimu wao ni kipofu?Mbona barabara nzuri. Unalalamika nini
Mjinga kama wewe huwa humu ni kuwa puuza
Kumbe ni kweli mwalimu wao ni kipofu?
Sasa,hilo swali liliulizwa ni swali gani?
Liko nje ya mada,kajipange upya
JiweJiwe ndio nani??
Du ! eti wewe nawe ni eagle? Eagle Feki! Majibu ya kipuuzi law maswali critical, SHAME ON YOU!🤣🤣😃😃😁😁🤨😶Hiyo itakupa bei gani leo upate pesa ya kula
Magufuli huyo hapo akipiga kazi Nyakanazi
Yani wasafiri wanataka kuwahi kufanya shughuli zao za kuwapatia kipato wanawekwa pembeni kupisha msafara wa dikteta uchwala mmoja masaa zaidi ya matatu???Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?
Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!
Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!
Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!
Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:
View attachment 1572352
Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.
Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.
Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.
Amazing!
Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:
View attachment 1572353
View attachment 1572354
Maendeleo hayana chama:
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
Ninawasilisha.

Lissu ni package toshelezi kabisa kuiongoza hii nchi.
Jamaa wanamsifu kwamba amejenga barabara nyingi sana ila nikiangalia barabara nyingi zipo pale alipoishia JK .hivi kweli hizo barabara nyingi alizojenga kazijenga nchi hii hii ya Tanzania?Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?
Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!
Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!
Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!
Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:
View attachment 1572352
Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.
Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.
Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.
Amazing!
Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:
View attachment 1572353
View attachment 1572354
Maendeleo hayana chama:
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
Ninawasilisha.
Lisu huyu ninaemjua!! Ha ha ha, kweli tanzania nikubwa!! Lisu awe Rais? Ha ha ha ! Mhudumu ongeza grass.
Jamaa wanamsifu kwamba amejenga barabara nyingi sana ili nikiangalia barabara nyingi zipo pale alipoishia JK .hivi kweli hizo barabara nyingi alizojenga kazijenga nchi hii hii ya Tanzania?
Ili tujue ukweli ungetuwekea ratiba inayoonyesha mgombea alitakiwa kufika eneo husika na hakufika. Au wewe ulihisi atafika kwasababu wewe umetaka afike.
Hivi wagombea wanatembelea maeneo yote kabisa ya nchi? Mbona muda wa kampeni utaisha hawajamaliza hizo safari.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app