- Thread starter
- #21
Unapenda kupaste upuuzi sana ww
Mwulize jiwe kama atakwambia ni upuuzi mpuuzi wewe.
Hivi wewe ndiyo ulikuwa kwenye ule mfano namna ya ku ignore wapuuzi? Au yule alikuwa Soviet Union na siyo wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda kupaste upuuzi sana ww
Magufuli aka Meko au Baba JJJiwe ndio nani??
Hili alijibatiza mwenyewe kwa moto wa makaa ya maweJiwe ndio nani??
Nenda uelekeo wa Ngara to Rwanda and Burundi...kuna poda nyekundu barabarani yaani inshort lami iliondoka miaka mingi gari zinaoga vumbi na kukwama kwenye vumbi
Jiwe ndio nani??
Ndiyo mchague Magufuli awaletee maendeleo ya vituNenda uelekeo wa Ngara to Rwanda and Burundi. Kuna poda nyekundu barabarani yaani inshort lami iliondoka miaka mingi gari zinaoga vumbi na kukwama kwenye vumbi.
Ndiyo mchague Magufuli awaletee maendeleo ya vitu
We
wewe nawe unampigia promo lisu au maana wote tunajua yeye maendeleo yake hayapo kwenye vitu hivyo hawezi kuitengeneza hiyo barabara subilini awagawie pesa ya kutuliza vumbi mnazokula hivyo kaa kimya kuhusu mgombea wetu yeye ndiye aliyeijenga na yeye ndiye atakayeirekebisha,iyo barabara IPO kwenye mipango ya kurekebisha ushauri wangu musibebe mizigo mizito kwenye maroli fuateni sheria.
Hata mimi simjui kuna wengine wanasema Meko pia simjui haaaaa haaaa miTanzania bwana wanapenda kutupachikia mijina ya ajabu ajabu.
BabakoJiwe ndio nani??
Mateso yote mliyoyapata, bado kuna mataahira yatampigia kura
Mgombea wa ccm pale ngara ameshashinda anasubiri kuapishwa tu so kwenda kule ni kupoteza muda tu chama kwa sasa kimefokasi kwenye maeneo yenye upinzani zaidi
Jiwe ndio nani??
Hatujaelewa wakati aliongea mchana kweupe kwamba yeye maendeleo ya watu vitu hapana akatolea na mfano wa Barbara ya njia nane,pia akasema kuhusu ushoga yeye kwake ni tendo la falagha hivyo ni ruksa,anasema akichukua nchi mageti,mipaka haitakuwa na kizuizi chochote kitaingia ili kufanya watu wawe na pesa mfukoni,hakuna kutoza kodi kwa lazima ni hiyari ya mwananchi mwenyewe ukitaka unalipa husipotaka ulipi na magereza zitabomolewa kwa sababu yeye anataka watu wawe huru,atafuta makosa ya uhujumu uchumi,kutakatisha fedha ,kukwepa kodi na pia alisema ruksa kuingiza biashara yoyote ile na ruksa kutoa nje biashara yoyote loh.Upotoshaji wenu kuhusu Lissu na maendeleo ya vitu ni sawa na kutega kunguru kwa maharage makavu.
Hatudanganyiki!
Nyie si wasemaji wa Lissu. Pia kama hamjaelewa na mkaulize mtaelishwa.
Lissu mliyepanga kumdhulumu roho, kipenzi cha wengi hawezi kuwa na mawazo ya kijinga kama yenu.
Ukitaka kuuza madawa ya kulevya ruksa ,Hatujaelewa wakati aliongea mchana kweupe kwamba yeye maendeleo ya watu vitu hapana akatolea na mfano wa Barbara ya njia nane,pia akasema kuhusu ushoga yeye kwake ni tendo la falagha hivyo ni ruksa,anasema akichukua nchi mageti,mipaka haitakuwa na kizuizi chochote kitaingia ili kufanya watu wawe na pesa mfukoni,hakuna kutoza kodi kwa lazima ni hiyari ya mwananchi mwenyewe ukitaka unalipa husipotaka ulipi na magereza zitabomolewa kwa sababu yeye anataka watu wawe huru,atafuta makosa ya uhujumu uchumi,kutakatisha fedha ,kukwepa kodi na pia alisema ruksa kuingiza biashara yoyote ile na ruksa kutoa nje biashara yoyote loh.
Hatujaelewa wakati aliongea mchana kweupe kwamba yeye maendeleo ya watu vitu hapana akatolea na mfano wa Barbara ya njia nane,pia akasema kuhusu ushoga yeye kwake ni tendo la falagha hivyo ni ruksa,anasema akichukua nchi mageti,mipaka haitakuwa na kizuizi chochote kitaingia ili kufanya watu wawe na pesa mfukoni,hakuna kutoza kodi kwa lazima ni hiyari ya mwananchi mwenyewe ukitaka unalipa husipotaka ulipi na magereza zitabomolewa kwa sababu yeye anataka watu wawe huru,atafuta makosa ya uhujumu uchumi,kutakatisha fedha ,kukwepa kodi na pia alisema ruksa kuingiza biashara yoyote ile na ruksa kutoa nje biashara yoyote loh.
Ukitaka kuuza madawa ya kulevya ruksa ,
Ukitaka kuuza silaha nayo ruksa yaani wewe hata kuiba iba tu serikali itakulinda.