Mimi nimekukubalia na wewe na nimesema badala ya kuwapa maendeleo ya vitu, tuwape fedha ili waweze kupata maendeleo ya watu.Usipende kulishwa matango pori na maafisa vipenywa wa TBC moja.
Nenda kajionee mwenyewe.
Nisingemvutia kasi mzee baba ningeujua u mbayuwayu wake au adha za nyantakara anapokuwa kwenye kampeni zake?
Sina hakika katika ile halaiki niliyoiona nyantakara kama atapata kura hata moja kwao. Watu wale walichoka hasa.
Kumbuka pia huu ulikuwa upande mmoja tu Nyantakara kuelekea Nyakanazi. Bado kuna Kakonko - Nyakanazi, Biharamulo - Nyakanazi na Muzani - Nyakanazi.
Subiria ya Ryoba kuaminishwa kuwa hata Bukoba hakukuwa na zomea zomea.
