B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 18, 2020 Thread starter #141 magu2016 said: Hatuna shida ushindi ni lazima 28 October 2020! Tunachotaka sasa ni kuongeza tu asilimia zifike 95% wapinzani waambulie 5%. Click to expand... Wanasema asiyekubali kushindwa si mshindani: Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani" Vipi mkuu mnampango wa kukwiba uchaguzi? Vipi mmeshatamka kuwa nanyi inahitajika uchaguzi ulio huru na haki? Au ni porojo tu? Ila fahamuni safari hii atakaye shindwa na ashindwe kwa haki katika uchaguzi huru. Vinginevyo ICC itamhusu mtu.
magu2016 said: Hatuna shida ushindi ni lazima 28 October 2020! Tunachotaka sasa ni kuongeza tu asilimia zifike 95% wapinzani waambulie 5%. Click to expand... Wanasema asiyekubali kushindwa si mshindani: Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani" Vipi mkuu mnampango wa kukwiba uchaguzi? Vipi mmeshatamka kuwa nanyi inahitajika uchaguzi ulio huru na haki? Au ni porojo tu? Ila fahamuni safari hii atakaye shindwa na ashindwe kwa haki katika uchaguzi huru. Vinginevyo ICC itamhusu mtu.