Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Hayo ni mauzauza tu hata kupalizwa Mbinguni ni uwongo uliokubuhu. Imekuwaje tukaamini bila kuhoji?
 
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
Wanamfahamu Maria mwenyewe? Programed mind sets [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Kenya!!!
Huwa ni wasani sanii fulani hivi, mnakumbuka Mungu na Yesu walitajwa kuonekana huko miaka ya karibuni
 
Mpaka uwe na macho ya rohoni ndugu yangu hivi hivi huwezi kumuona 🕺🕺
Ina maana hata vishikwambi viwe na lensi za rohoni ndiyo viweze kuonyesha hiyo picha live, hayo macho ya rohoni vitayapata wapi au vimewakosea nini ninyi vishindwe kumwona huyo mama
 
Hivi Yosefu aliendelea kuchakata mbususi baada ya mtume kuzaliwa.
Yes, Jesus alikua na ndugu zake walioshea mama, mmoja, James, Andrew,na ukumbuke malaika alimunya Joseph,mumewe asimwache [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
Spiritual eyes don't show us physical things,tunaonyeshwa katika ulimwemgu wa ROHO
 
Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?

Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kupiga punyeto ama ilikuaje?

Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?

Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
kweli iko hivi. 1. Mariam aliposwa na Yusufu kama ujuavyo. Baada ya Yusufu kugundua... anamimba, aliazimu kumwacha kwa siri. Jambo ambalo Mungu hakukubali na akamwambia Yusufu "usimwache mkeo"... Point yangu hapa ni KAMA MUNGU ALIKUWA HATAKI MARIAMU ATUMIKE NA YUSUFU, ANGEUNGA MKONO UAMUZI WA YUSUFU KUMWACHA MARY, lakini haikuwa hivyo. 2. Bible inasema akamzaa mwanae KIFUNGUA MIMBA. Neno kifungua mimba linapotumika, huwa na maana kwamba alizaa na watoto wengine na kama Yesu angekuwa wa pekee kwa maria, lingetumika neno "akamzaa mw/pekee"
 
Back
Top Bottom