Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Haswaa, Joseph aliendelea kumtafuna Maria kama kawaida kwa kuwa Maria alikuwa ni mke wake halali wa ndoa.
Hata kabla ya Masihi kuzaliwa (wakati Maria akiwa mjamzito) huenda Joseph alikuwa anakula mzigo wake kama kawaida, maana ni haki na halali yake tena ni baraka.
Mathayo 1:18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristu kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.

Mpaka hapo ufute dhana yako ya "huenda kwasababu ni haki, halali yake na baraka" na porojo nyingine.
 
Maria alifariki miaka 2000 iliyopita.
NASHANGAA ROMAN BADO WANAMUOMBEA NA KUMPA UTAKATIFU.

ROMAN WALIANZISHA UISLAMU.
LEO WANAANZISHA NDOA ZA JINSIA MOJA.

Nikisoma UFUNUO 17.
HUWA NALIA NA SHETANI ROMA.
 
Ukiwa unazungumzia maandiko ya kwenye biblia, usiyahusishe na mwili, kwani ile injili imekuja kutukomboa kiroho.

Yesu anasema; amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, huyo amekwisha kuzini nae moyoni [Mathayo 5:28].

Hapo unajifunza kwamba, kumbe mwanamke anaweza kuwa bikira wa mwili, lakini akawa malaya kiroho, bikira Maria kuitwa bikira imebeba ujumbe mzito wa kiroho zaidi ya kimwili.

Kwani mimba aliyoibeba na kuzaliwa Yesu Kristo, haikuwa kwa kuingiliwa kimwili na mumewe Yusufu, ule ulikuwa ni uwezo wa Mungu ili maandiko yatimie.
Amina
 
Maria alifariki miaka 2000 iliyopita.
NASHANGAA ROMAN BADO WANAMUOMBEA NA KUMPA UTAKATIFU.

ROMAN WALIANZISHA UISLAMU.
LEO WANAANZISHA NDOA ZA JINSIA MOJA.

Nikisoma UFUNUO 17.
HUWA NALIA NA SHETANI ROMA.
Mimi nalia na Shetani CAPO DELGADO.
 
Tunapoelekea: start a church, get some mzungu guy kwa hologram, sema Yesu anatembelea kabisa kila Jumapili ya mwisho wa mwezi, piga mihela.
 
Wakatoliki wameanza umbwiga nao. Sasa si mianga tu hiyo inacheza sababu ya ma refraction.
 
Back
Top Bottom