Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sipo mbali na wewe unayetaka twende kwa hoja.Okey sawa, mm sikatai. Ila jiulize kama ni suala la imani, kwann wenye imani ya wakati ule ni sahihi na wanaoamua kumuamini huyu isiwe sahihi? Si imani ya mtu?
Imani yoyote ikichochewa vichwani mwa watu hugeuka kuwa ni bhangi yenye madhara makubwa sana.
Hivyo Serikali inatakiwa kulinda roho na afya za watu wake.