Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Tukio hili limetokea huko nchini kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
Bikra maria wew ushamwona wapi??...maana wa kwenye movie na picha sio yeye Halisi.
 
Umesahau ku-Minus Ile miaka kabla ya Balehe! Zamani walikuwa wanabalehe na Miaka 50!
Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?

Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kuoiga ounyeto ama ilikuaje?

Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?

Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
 
Alimuoa Maria yusufu akiwa na miaka 80, baada ya kumzaa mtoto haikupita muda mrefu yusufu akafariki, yule mama hakuwahi kuingiliwa na mwanaume milele
 
hizo ni hadithi za kufikirika hao watu hawajawahi kuexist hapa duniani wanaexist kwenye vichwa vya wapumbavu wachache waliofanikiwa kuwa brainwashed na mzungu aliyewafanya watumwa na mijeredi juu kupitia hizo hadithi za kufikirika 'myths'
 
Haswaa, Joseph aliendelea kumtafuna Maria kama kawaida kwa kuwa Maria alikuwa ni mke wake halali wa ndoa.
Hata kabla ya Masihi kuzaliwa (wakati Maria akiwa mjamzito) huenda Joseph alikuwa anakula mzigo wake kama kawaida, maana ni haki na halali yake tena ni baraka.
Hio ndoa ilifungwa wapi wakati walikua wachumba, kwanza yusufu hakutaka kumuoa ila kwa sababu ya uyatima wa huyo binti Maria uongozi wa dini yao ukaona wamkabidhi yusufu,kwa sababu yusufu alikua mwadilifu na pia alikua amefiwa na mkewe karibuni
 
Hii Dini ina ufala mwingi sana. Nani anaijua Sura halisi ya huyo Bibi???
Ukisema DINI unakosea. DINI zote duniani ni nzuri tatizo linakuja KWA hawa wapokeaji mkuu, hii DUNIA ainaga ubaya, siyo risasi inayoua ni mtu, magonjwa yote ni mtu, ajali zote ni mtu DINI zote ni za MUNGU ILA hawa wapokeaji ndipo tatizo lilipo
 
Tukio hili limetokea huko nchini kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
Acha bange wewe
 
Sasa utathibitisha vp kuwa siye wkat ni suala la imani? Tena wakimkamata ndo watasema iliandikwa atakamatwa, imerudia tena.
Ndugu yangu huo ni mzahaha wa kuneemesha matapeli wajanja.

Aende Rwanda na hiyo slogan yake akakione cha moto!
 
Mpaka uwe na macho ya rohoni ndugu yangu hivi hivi huwezi kumuona 🕺🕺
Nenda church ukiwa huna hela sikilizia muda wa sadaka kisha nenda kwenye kapu ukiwa umekunja ngumi (ishara ya kushika hela)

Sasa kunakuwa na watu ambao wanakaa pembeni ya kapu la sadaka huwa wanapiga macho kiaina kwa wanaotoa sadaka

Ukifika pale kunjua kiganja (ishara ya kutupia sadaka ndani ya kapu)

Wakiona hakuna kitu umeweka watauliza mbona hujaweka sadaka

Nawe waambie "inahitajika macho ya kiroho kuiona sadaka yangu"
 
Ndugu yangu huo ni mzahaha wa kuneemesha matapeli wajanja.

Aende Rwanda na hiyo slogan yake akakione cha moto!
Okey sawa, mm sikatai. Ila jiulize kama ni suala la imani, kwann wenye imani ya wakati ule ni sahihi na wanaoamua kumuamini huyu isiwe sahihi? Si imani ya mtu?
 
Back
Top Bottom