Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Huu upuzi utotelewe hapa Kuna sehemu gani imeandikwa bikira Maria alifufuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepo hilo, na wote wamwabuduo mwisho wao ni kuzimuTukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.
NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Macho ya rohoni ndio nini, mnajazana ujinga tu.Mpaka uwe na macho ya rohoni ndugu yangu hivi hivi huwezi kumuona 🕺🕺
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Fala weweHivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?
Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kupiga punyeto ama ilikuaje?
Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?
Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
Hujamuona mmama anashangilia hapo mwanzo wa video? Ndio bikira Maria mwenyeweMbona kwenye hiyo video sioni kitu
Nimejiuliza kama na camera iliyotumika kuchukua hiyo video ina macho ya rohoni piaAmeonekanaje live wakati kumuona mpaka uwe na macho ya rohoni. Au hujui maana ya live
Just imagine kwa dunia ya leo mkeo humtafuni halafu anapata mimba ukimuuliza anasema ya roho mtakatifu[emoji1787][emoji1787]Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?
Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kupiga punyeto ama ilikuaje?
Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?
Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
Hii Dini ina ufala mwingi sana. Nani anaijua Sura halisi ya huyo Bibi???
Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?
Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kupiga punyeto ama ilikuaje?
Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?
Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
Kwani Kanisa Katoliki siku hizi lina MACHO YA ROHONI?Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.
NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
kwahio nikweli bikra kaonekana?na unaamini ndio yeye?ukiristo niujinga.hivi ushawahi kuona waislamu wanasema tumemuona Fulani?Hakuna dini ya maana kama ukristo,ukristo ukiwa wa kifala basi dini zote zinakua hazina maana tena.