BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Hawachezeshi mwangani huwa wana mshindi tayari! Kipindi chenyewe Recorded hatuonyeshwi mshindi anavyopatikana na hawaelezi Lini namba yako inachezeshwa yaani uweumenunua Mara ngapi. Biko Magumashi kama walivyo watangazaji wake
 
Wao ni wahitaji wa fedha kama wewe kwa wiki wagawe shs 100000000 faida gani wanyopata jiongeze lakini kila siku benk zote wanaonyesha mshindi akikabidhiwa noti za shs 5000 kuna siku uliwahiona wana noti ya shs 10000 tizama picha ile ni show money wakimaliza wanatia ndani ya beg wanahama mkoa ni wapiga diri harari fumbuka
 
Hii ni bahati nasibu, wewe huna bahati.
 

Mkuu unaelewa maana ya bahati na sibu?


Hao biko wamekuja kutafuta Pesa sio kugawa pesa
 
Hivi mkuu huna njia halali ya kupatia fedha mpaka ucheze Biko au hata Tatu Mzuka?Jamani hao watu ni wapigaji tu,hivi WaTz tukoje?Mbona tunapenda dezo sana.Kwanza kwa mtu mwenye akili timamu kitu kama Tatu Mzuka,jina tu is enough to frighten you.The name is so demonic.
 
Nirahisi kugongwa na gari kuliko kushinda iyo biko...
 
Ipo hivi manake mm nilisha wafata inbox kule Instagram nkawauliza maswali kadhaa ila mm langu kubwa lililenga kujua mshindi Wa million 50 anapatikana kwa wingi Wa tiketi ama nn walichonijib ni kwamba uanaponunua tiketi ndo unaweza kubahatisha ukakuta umenunua tiketi ya Million 50 na sio kwamba inachezeshwa hapana zile namba pale znakua zmeshasetiwa kitambo ndo maana hata kajala huwa ajeuki kuzikopi upo hapo,, ila sms zao znatia moyo sana
 
Dah wamekuvuta taratibu mwisho wamekula kichwa!

Pole sana mkuu
 
Angalao wale TATUMZUKA wana uhakika zaidi, maana majibu ni hapo hapo na namba za ushindi ni random. Yeyote anaweza kushinda.
 
Ndio maana ya BAHATI NASIBU ndugu. Gharama uliyotumia sio ndio inayodetermine ushindi. Yule dogo aliyeshinda wiki 2 zilizopita alitumia buku 2 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…