BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Njoo mpirani unajijua mapema huku hamna kuzungusha gurudumu gizani ukienda kideoni utaona liverpool au chelsea kapigwa na burnley unaondoka kimya kimya
 
Naona na mashine za kichina zimezagaa kila pande

Chagua mnyama 200 ule masilivaa hah hah hah vijana wako bize
 
Hawa wahuni ka 3 mzuka et umicheza ukaweka no; za bHT wana kuletea namba zilizoshinda ni zingne kabisa tofaut mbal sana ulizoweka ww duu htal
 
Yaan juzi nilikua na kihela cha kwenye mpesa nikajikuta nawashwawashwa kucheza biko aisee mara ya kwanza nilishinda elfu tano wakanitumia nikanogewa nilijikuta nacheza adi ikafika elfu 30 na sijaambulia chochote zaidi yakuliwa duu mimi najuta sitajaribu tena kubahatisha hela haramu kama za biko kama ni pesa bora kutoka jasho.
 
wanasemaga BIKOOO!! Mshiko njenje!![emoji23][emoji23]
 
NI ''KAMARI''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…