Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenilia elfu 30 yangu ingekua nawaona live ningepiga ukelele wakanirudishia hela yanguNdio ni kamari.
HahaaaaaaBIKO ndani ya MMU
Ngoja nikajarib namm
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
NI ''KAMARI''yaan juz nilikua na kihela cha kwenye mpesa nikajikuta nawashwawashwa kucheza biko aisee mara ya kwanza nilishinda elfu tano wakanitumia nikanogewa nilijikuta nacheza adi ikafika elfu 30 na cjaambulia chochote zaidi yakuliwa duu mm najuta ctajaribu tena kubahatisha hela haramu kama za biko kama ni pesa bora kutoka jasho
Hahaaaa. Itakuwa amekosea njia matokeo yake kajikuta anatokea mtaa wa MMU.Biko humu imefuata nini?
Ila sio kwa kuosea huku au andiko linahusu biko ya mahusianoHahaaaa. Itakuwa amekosea njia matokeo yake kajikuta anatokea mtaa wa MMU.
Hahaaaa. Hivi hadi kwenye mahusiano huwa kuna biko eee?Ila sio kwa kuosea huku au andiko linahusu biko ya mahusiano
Nafikiri utapeli kwenye mahusiano ndyo unaitwa BIKOHahaaaa. Hivi hadi kwenye mahusiano huwa kuna biko eee?
Hahaaaaa. Huenda ikawa.Nafikiri utapeli kwenye mahusiano ndyo unaitwa BIKO