BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Bora kubet mpira tu na michezo mingine asilia ukiliwa unajua kabisa timu fulani ulitabili hivi matokeo yamekua hivi sio huo upuuz
 
Kweli mkuu, hawa Biko wezi Mimi nimecheza hadi laki na elfu kumi lkn sijashinda hata mia, iweje kila anayepigiwa simu anasema ameshinda laki, hamsini, elfu kumi? Mie Mara ya mwisho kucheza ni jmosi hii na sichezi tena. Eti wote wanaopigiwa simu hata siku moja hawajawahi kutopatikana hewani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.

Sent using Iphone 7+
Wewe ndo walewale mnaokula hizo pesa sasa unawatetea, haiwezekani mimi nicheze zaidi ya mwezi nisishinde hata mia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natoa rahi kwa serikali ipige marufuku hawa Jamaa ni wezi sana mimi nimepigwa sana pesa zangu lkn sijashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mshikaji wangu yupo MTO wa mbu huko Manyara anafanya tour guard ,week mbili zilizopita nilishangaa ametangazwa channel 10 ameshinda mil 30,na akahojiwa ila kama ni utapeli mbona sometimes ukicheza unaweza kujishindia buku 5 au 10 papo kwa papo
Wewe naye ni tapeli ndo mmetumwa kutetea humu JF, acheni kutuibia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biko ni wezi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Bodi ya michezo ya kubahatisha ipo na huwa wanakagua hizo system
Bahati Ansibu maana yake mshindi anaibuka 1 tu kati ya wote waliocheza hata muwe 1000
Hao wakaguaji wa system wanashiriki uo wizi

rushwa ni adui wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…