SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Pigeni kazi vijana msipende mteremko.Mtakuja kushtuka kumeshakucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hapo umemzuia au???unasema nimemzuia na huku anajua anacheza kwa siriWife nimemzuia kucheza lakini anacheza Kwa Siri, Mimi siwezi kucheza kitu hiki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, hawa Biko wezi Mimi nimecheza hadi laki na elfu kumi lkn sijashinda hata mia, iweje kila anayepigiwa simu anasema ameshinda laki, hamsini, elfu kumi? Mie Mara ya mwisho kucheza ni jmosi hii na sichezi tena. Eti wote wanaopigiwa simu hata siku moja hawajawahi kutopatikana hewaniWana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Biko ni wezi kama wezi wengine tu yani ni zaidi ya DESBora ubet ni kitu ambacho hata ukipoteza unaona lakini hii BIKO na Tatu mzuka ni aina fulani ya utapeli uliojificha kwenye kulipa Kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo walewale mnaokula hizo pesa sasa unawatetea, haiwezekani mimi nicheze zaidi ya mwezi nisishinde hata miaTrust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.
Sent using Iphone 7+
Halafu wachezeshaji ni huyu Kajala Malaya aliyebobeyaUnatumaje Hela hujui inachezeshwaje .... Bora U BET unaona Kabisa Man U kashinda Hela hii hapa..
Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
Mimi natoa rahi kwa serikali ipige marufuku hawa Jamaa ni wezi sana mimi nimepigwa sana pesa zangu lkn sijashindaHakuna mchezo wa bahati wa kupigiwa simu ulio na ukweli ndani yake.
Jiulize iliishia wapi Jackpot Bingo ya Monalisa ITV miaka ile.
Walikuwa wanasema inachezwa live, watu wakamkuta Monalisa mwendesha kipindi yupo Sinza huku kipindi kipo hewani na neno kubwa pale pembeni eti ni LIVE (Mubashara ilikuwa bado haipo kipindi hicho)
Mjini kuna njia nyingi za kupata hela ila hizi bahati nasibu za kitanzania za kupigiana simu ni utapeli mwingine.
Waliokuwa mjini watakumbuka hii kitu mpaka Tarimba Abas Tarimba akaingilia kati.
Ukiacha hizi betting za kuotea matokeo, hizo nyingine zote jau. Kila anayeshinda lazima aseme hivi " ndugu zangu chezeni huu mchezo ni kweli kabisa na hakuna udanganyifu".......why waseme hakuna udanganyifu?
Wewe naye ni tapeli ndo mmetumwa kutetea humu JF, acheni kutuibiaKuna mshikaji wangu yupo MTO wa mbu huko Manyara anafanya tour guard ,week mbili zilizopita nilishangaa ametangazwa channel 10 ameshinda mil 30,na akahojiwa ila kama ni utapeli mbona sometimes ukicheza unaweza kujishindia buku 5 au 10 papo kwa papo
Wewe mwizi pia acha kuhamasisha watu ujinga ili mwendelee kutuibiwaDuuh mm nimewahi kushinda laki moja toka biko 5000 *3
10000*2
20000*1
100000*1
Na nikishinda tu wa nanitumia ndani ya dk na Nina wiki 2 toka nianze kucheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Biko ni wezi sanaspeaking from experience ...
hii michezo musijaribu kabisa kwani madhara yake ni makubwa mno, kwanza huleta umaskini, huchangia umaskini, na pia huweza kupelekea watu kupoteza hata maisha...na nk..
hio biko, au tatu mzuka etc kuna wizi mkubwa mnoo ambao wanao faidika ni wachache mno...
kwa ushauri wangu kama kweli hii inchi ni ya uadilifu na wapo kwa ajili ya maslahi ya umma washuke pale chini kwenye ile board ya bahat nasibu ichunguzwe kitaalamu uone jinsi formula kandamizi zinavyowa dhulumu wananchi kwa maslahi ya wachache...
wafute tu hio michezo, tutafute njia nyingine za kuwekeza...sasa hivi 80% ya wasio na ajira na wale wenye vijimishahara wanateteza fedha zao huko.
serikali adilifu ifanye ya fuatayo.
kwanza wa review software inatumika kwa tatu mzuka..na hizo biko..hapa sitaandika mno kuna mlolongo ambao najua kwa siasa zetu wakifuatilia watazifunga..
wachezeshaji wachunguzwe kwa kila kitu kuanzia mawasiliano yao maisha yao etc...
washindi wale wakuchaguliwa pia wachunguzwe..na kufuatiliwa...
kingine na cha mwisho... kwa wale wadadisi wapenda ku penetrate na kupiga huku ndo kwenye fursa..
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata lawama zako / malalamiko yako unaonekana bado una safari ndefu mno ya Kuuga ufukara / umasikini. Pole sana Mkuu waache Watu wacheze BIKO na hoja yako kidogo ingekuwa na ' mashiko ' endapo Wewe ndiyo huwa unawapa Pesa za kwenda Kucheza huo mchezo lakini hutoi hata ' Sumni ' iweje ' Kipira ' chako Kikuwashe?
ndp umewaita ss subir wakajipange!
Hao wakaguaji wa system wanashiriki uo wiziBodi ya michezo ya kubahatisha ipo na huwa wanakagua hizo system
Bahati Ansibu maana yake mshindi anaibuka 1 tu kati ya wote waliocheza hata muwe 1000