BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Tatu mzuka ndiyo bahati nasibu ambayo hata mchezaji anaweza kukokotoa asilimia za ushindi wake.
Droo yao huchezwa live bila chenga.
Biko ni wezi wakubwa.Simaanishi mshindi kwamba wanampika
 
Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
mimi kinachonishangaza ni jins kajala na mwenzie wanafanya hiki kipindi na pia inanishangaza jinsi wanavyopokea simu na majibu yao kwa mara ya kwanza nilidaut yule mama mstaafu wa vingunguti alivorespond someting fishy is goin on there ni wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtupu
 
Biko wizi mtupu. Nakumbuka yule wa Bunju, mpoki anamuuliza upo Bunju eeh hata kabla jamaa hajasema alipo...bora kubeti tu, gemu kama ya Liva na Spurs unamuua Liva kiulainiii unaweka 100
 
Hiyo michezo ni utapeli, michezo ya ukweli ni Kubet tu maana unaona live kama mkeka umechanika.
 
Biko wizi mtupu. Nakumbuka yule wa Bunju, mpoki anamuuliza upo Bunju eeh hata kabla jamaa hajasema alipo...bora kubeti tu, gemu kama ya Liva na Spurs unamuua Liva kiulainiii unaweka 100
kweli bora kubet juzi nimebet mechi zangu 10 ilikuwa nipate laki6.7 lakini mechi ya man u ndo ikazingua kwahiyo nimekosa kihalali kabisa na roho ilikuwa nyeupee ila hii biko magumashi sana
 
Tatu mzuka ndiyo bahati nasibu ambayo hata mchezaji anaweza kukokotoa asilimia za ushindi wake.
Droo yao huchezwa live bila chenga.
Biko ni wezi wakubwa.Simaanishi mshindi kwamba wanampika
wote hao wezi tu
 
Wabongo kweli wabongolala

Wewe umeisha ambiwa hiyo ni kamari afu unasema wizi nje nje kuna kamari inayoibiwa ndani

Achana na kamari Fanya mambo mengne

Haya ndo madhara ya mfumo wa capitalism. bado serikali inapiga tu kodi zao endeleeni kucheza muwanufaishe watu na familia zao
 
Mtoa mada inaonekana na wewe ni mshiriki mzuri tu na ulitaka wakupigie simu, kipi kilikukasirisha hadi ukaamua kuwatumia huu ujumbe
 
Ndio mimi ni mshiriki mzuri na nilitegemea angalau angepigiwa simu mshiriki mwenzangu kuliko mtu ambae hajawahi kushiriki hata siku moja
 
Wabongo kweli wabongolala

Wewe umeisha ambiwa hiyo ni kamari afu unasema wizi nje nje kuna kamari inayoibiwa ndani

Achana na kamari Fanya mambo mengne

Haya ndo madhara ya mfumo wa capitalism. bado serikali inapiga tu kodi zao endeleeni kucheza muwanufaishe watu na familia zao
sichezi tena ndugu
 
mi kitu ambacho huwa nashangaa hata wale washindi akiambiwa ameshinda milioni 50 yaani itikia yao haifanangi na ukubwa wa hiyo milioni 50 utadhani ameambiwa kuwa umeshinda buku mbili,
 
Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
Ni kweli nami nilisikia na kushuhudia wakati wakitangaza nikadhani labda masikio yangu yana matege.
Ila msaada kwenye tuta tuombe mwenye yale marudio atuwekee hapa ili tuwe na ishahidi wa kutosha kuwahoji.
 
Back
Top Bottom