ag_barblonbizz
New Member
- Oct 22, 2017
- 1
- 0
Real au nawe umetipika tuu habsr zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi kinachonishangaza ni jins kajala na mwenzie wanafanya hiki kipindi na pia inanishangaza jinsi wanavyopokea simu na majibu yao kwa mara ya kwanza nilidaut yule mama mstaafu wa vingunguti alivorespond someting fishy is goin on there ni wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtupuHabari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
kweli bora kubet juzi nimebet mechi zangu 10 ilikuwa nipate laki6.7 lakini mechi ya man u ndo ikazingua kwahiyo nimekosa kihalali kabisa na roho ilikuwa nyeupee ila hii biko magumashi sanaBiko wizi mtupu. Nakumbuka yule wa Bunju, mpoki anamuuliza upo Bunju eeh hata kabla jamaa hajasema alipo...bora kubeti tu, gemu kama ya Liva na Spurs unamuua Liva kiulainiii unaweka 100
wote hao wezi tuTatu mzuka ndiyo bahati nasibu ambayo hata mchezaji anaweza kukokotoa asilimia za ushindi wake.
Droo yao huchezwa live bila chenga.
Biko ni wezi wakubwa.Simaanishi mshindi kwamba wanampika
Jambo lolote ukiona linatangazwa kwenye vyombo vya habari kwa kulipia ujue hapo kuna upigaji wa fedhawote hao wezi tu
Ndio mimi ni mshiriki mzuri na nilitegemea angalau angepigiwa simu mshiriki mwenzangu kuliko mtu ambae hajawahi kushiriki hata siku mojaMtoa mada inaonekana na wewe ni mshiriki mzuri tu na ulitaka wakupigie simu, kipi kilikukasirisha hadi ukaamua kuwatumia huu ujumbe
sichezi tena nduguWabongo kweli wabongolala
Wewe umeisha ambiwa hiyo ni kamari afu unasema wizi nje nje kuna kamari inayoibiwa ndani
Achana na kamari Fanya mambo mengne
Haya ndo madhara ya mfumo wa capitalism. bado serikali inapiga tu kodi zao endeleeni kucheza muwanufaishe watu na familia zao
Ni kweli nami nilisikia na kushuhudia wakati wakitangaza nikadhani labda masikio yangu yana matege.Habari za Asubuhi wapendwa. mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda napenda kusema kuwa i am so dissapointed kwa niliyoyaona jana katika bahati nasibu ya Biko. Kama kawaida alipigiwa mtu simu na yule mtu alivyopokea akaulizwa kama ameshawahi kushiriki mchezo wa biko na alikataa akasema hapana,akaulizwa tena mara ya pili akagoma na mara ya tatu akakataa sasa wale watangazaji kuua soo wakamwambia basi wewe ndo mshindi wetu wa milion 50, jamaa ndo akaanza kushangilia. sasa najiuliza inakuwaje mtu ambae hajashiriki anashinda pesa? Au ni kipi kilichompelekea jamaa akashinda bila kushiriki? Tulikuwa vijana kibao tunaangalia Biko na wote tulikasirika sana na tulishangazwa na kitendo hichi. Naomba tu ujumbe huu uwafikie biko na watolee maelezo jambo hili kwasababu tumeliona Live na ushahidi upo. Tunaomba maelezo la sivyo hatutacheza tena Bahati nasibu yenu. Wako katika ujenzi wa taifa la viwanda Snitch2020
you got a point dudeWhat if mkewe alicheza kwa kutumia namber yake..!