Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwamba kuna wanaume bado wanapambania bikira mpaka enzi hizi 😁Yoda kwanini unasikitika weekend hii ujue 🔥
Kwamba kuna wanaume bado wanapambania bikira mpaka enzi hizi 😁Yoda kwanini unasikitika weekend hii ujue 🔥
Ni hivi mkuu. Mwanaume wa namna hio Mimi simuungi mkono hata kidogo Kwasababu ni hatari Kwa jamii yote lakini pia mwanamke anapaswa kujua wanaume sisi ni waongo hili swala ni la mzazi kumshauri mtoto wake na inawezekana kabisa bila shida yeyote ileMkuu ni kweli jukumu la kulinda bikra ni la muhusika mwenyewe,hilo halina ubishi,
Mfano,kuna Mwanaume ambaye vigezo vyake ni kuoa Mwanamke mwenye bikra,ila Mwanaume huyo,unakuta kuna wanawake kawatoa bikra bila kuwaoa,kifupi ina maana kua,yeye pia anaharibu kitu ambacho yeye mwenyewe hata taka kiwe kimeharibika atakapo taka kuoa,
Kuna Wanaume wamewatoa bikra wanawake kwa ahadi za kuwaoa ila hawakuwaoa,hapa ni sawa na kuchezea feeling za mtu,kitu ambacho ni cha hatari,The biggest coward of a man is to awaken the love of a woman without the intention of loving her.
Hela hawana na bikra wakose we uliona waapiii🤣🤣🤣(JokesKwamba kuna wanaume bado wanapambania bikira mpaka enzi hizi 😁
Wanaume aina yako mnahesabikaMkuu ni kweli jukumu la kulinda bikra ni la muhusika mwenyewe,hilo halina ubishi,
Mfano,kuna Mwanaume ambaye vigezo vyake ni kuoa Mwanamke mwenye bikra,ila Mwanaume huyo,unakuta kuna wanawake kawatoa bikra bila kuwaoa,kifupi ina maana kua,yeye pia anaharibu kitu ambacho yeye mwenyewe hata taka kiwe kimeharibika atakapo taka kuoa,
Kuna Wanaume wamewatoa bikra wanawake kwa ahadi za kuwaoa ila hawakuwaoa,hapa ni sawa na kuchezea feeling za mtu,kitu ambacho ni cha hatari,The biggest coward of a man is to awaken the love of a woman without the intention of loving her.
Ndugu mleta mada unataka kusema nini labda?Sijasema wanaume ndio wana uamuzi
Lakini wao wanachangia pakubwa sana hii tuseme wazi mwanaume wa miaka 30+ ana mrubuni binti mdogo wa mika 13 14 ...... hivi hapo huoni kama mwanaume ni tatizo
Kwa umri wa huyo binti baado hajakomaa kifra kuweza kukwepa mitego mingi tusilembe mwandiko
Wanawake waliolewa wakiwa bado BIKRA waulizwe waliwazajeMkuu ni kweli jukumu la kulinda bikra ni la muhusika mwenyewe,hilo halina ubishi,
Mfano,kuna Mwanaume ambaye vigezo vyake ni kuoa Mwanamke mwenye bikra,ila Mwanaume huyo,unakuta kuna wanawake kawatoa bikra bila kuwaoa,kifupi ina maana kua,yeye pia anaharibu kitu ambacho yeye mwenyewe hata taka kiwe kimeharibika atakapo taka kuoa,
Kuna Wanaume wamewatoa bikra wanawake kwa ahadi za kuwaoa ila hawakuwaoa,hapa ni sawa na kuchezea feeling za mtu,kitu ambacho ni cha hatari,The biggest coward of a man is to awaken the love of a woman without the intention of loving her.
Je mwanamke asiyebikra anastahili kutolewa Mahari pale anapopata Mwanaume muoaji?Kwamba kuna wanaume bado wanapambania bikira mpaka enzi hizi 😁
Nataka kusema hivi baadhi ya wanaume wenye tabia ya kurubuni mabinti wadogo na kisha baadae wanataka mwanamke bikra wakati uharibufu walifanya wenyewe huko nyuma ni kitu cha ajabu mnoo kwa wenye akili tu lakiniNdugu mleta mada unataka kusema nini labda?
Hakuna malalamiko hapaTunza bikra yako, mbona hulalamiki tukiwapongeza wanawake walioolewa na bikra.
Kwa mujibu wa hili andiko lako,ina maana unakubali kua kuna wanaume wanashare lawama na hao wanawake,Ni hivi mkuu. Mwanaume wa namna hio Mimi simuungi mkono hata kidogo Kwasababu ni hatari Kwa jamii yote
Mkuu,mtu akitapeliwa kwa maneno ya uongo,anayetakiwa kulaumiwa ni aliye tapeliwa tu au mpaka aliye tapeli? kisheria hapa tapeli ana makosa,lakini pia mwanamke anapaswa kujua wanaume sisi ni waongo
Ni sahihi kabisa,kila kitu kina anzia kwenye malezi Parenting.hili swala ni la mzazi kumshauri mtoto wake na inawezekana kabisa bila shida yeyote ile
Hao sio wanawake ni wasichana, mwanamke hawezi kuumizwa kwa kuitoa bikra yake, sababu bikra ni kitu ambacho lazima kitoke no matter what, mwanamke aache kuwazia pesa na kuzitafuta akaiwazie bikra, lolJambo nililojifunza ni kuwa wanawake wengi sana wanaumia roho pale mwanaume anapoanza kuzungumzia bikra Tena hususa mbele ya mwanamke ambae alipoteza bikra yake kipumbavu na kijinga. Hili nimeliona na wanawake huanza kuumia roho na kumuona huyo mwanaume anaezungumzia bikra ni mbaya
Ongea na mleta mada, mwambie bikra sio ishu hata kama wanaume wanazungumza kitu gani yeye awapuuze.Hao sio wanawake ni wasichana, mwanamke hawezi kuumizwa kwa kuitoa bikra yake, sababu bikra ni kitu ambacho lazima kitoke no matter what, mwanamke aache kuwazia pesa na kuzitafuta akaiwazie bikra, lol
Kwani nimesema ni issueOngea na mleta mada, mwambie bikra sio ishu hata kama wanaume wanazungumza kitu gani yeye awapuuze.
issue sio kutoka tu, je imetolewa kwenye mazingira yapi ??Hao sio wanawake ni wasichana, mwanamke hawezi kuumizwa kwa kuitoa bikra yake, sababu bikra ni kitu ambacho lazima kitoke no matter what, mwanamke aache kuwazia pesa na kuzitafuta akaiwazie bikra, lol
Binafsi nikikutana na ndugu zangu waliokuwa form 6 au chuo nawaambia ukweli then watajua wenyewe wanavyonitafasiri lakini Mimi ukweli nawaambia kabisa.Kwa mujibu wa hili andiko lako,ina maana unakubali kua kuna wanaume wanashare lawama na hao wanawake,
Mkuu,mtu akitapeliwa kwa maneno ya uongo,anayetakiwa kulaumiwa ni aliye tapeliwa tu au mpaka aliye tapeli? kisheria hapa tapeli ana makosa,
Ni sahihi kabisa,kila kitu kina anzia kwenye malezi Parenting.