Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Mkuu kuna namna unataka jamii ibadili mindset au niaje ila jua kua mwanaume na mwanamke ni tofauti na wanatofautiana katika aspects nyingi mno.
Ilifaa jamii ibadili mindset za mfumo dume
Hilo la bikra, mtolewaji (girl) kwake ina thamani kubwa kuliko kwa mtoaji.
Mtoaji hatahesabiwa kazitoa ngapi ila mtolewaji asipokua nayo itafahamika kua alishashenyentwa bila kujali alifanya na nani, wakati gani na alifanya na mwanaume wa umri gani nk.
Huu ndio ujinga wa wanaume wa Africa wao hujiona kama miungu duniani bado tuna safari ndefu kwa mitazamo kama hii
Mwanaume hana hizo limits, anaweza lala na wanawake 1000 ila ikifika zamu yako na usiwe na means yoyote ya kuprove jamaa kalala na wanawake wangapi , na anaweza akakwambia hajawahi ukamuamini.
Kwa mwanamke ni bikra tu, asipokua nayo ni wazi kuna jamaa alishachovya.
Kwa maneno haya ningependa tufunge mjadala mimi na wewe

Nilidhani unataka mwanamke msafi kwa sababu na wewe ni msafi kumbe sivyo initia kinyaa kuendelea kujadili
 
Hivi mpaka mwaka huu bado watu wanashughulishwa na bikra!!! Bikra ndio nini katika maisha ya kila siku, mtoa mada wala usishereheshe jambo hilo, mambo ya bikra ni matokeo ya mfumo dume, kila mtu ana haki ya kutumia kifanyio chake awezavyo ila linapokuja suala la maisha hapo inahitaji ukomavu wa kimwili, kiakili, uvumilivu na zaidi ya yote upendo, bikra ni kauzi flan hivi kakishatoka ndio basi ila maisha ni kitu endelevu hadi kifo kiwatenganishe,

NB: Wanaobaka au kuwarubuni mabinti wadogo wahasiwe
Jambo nililojifunza ni kuwa wanawake wengi sana wanaumia roho pale mwanaume anapoanza kuzungumzia bikra Tena hususa mbele ya mwanamke ambae alipoteza bikra yake kipumbavu na kijinga. Hili nimeliona na wanawake huanza kuumia roho na kumuona huyo mwanaume anaezungumzia bikra ni mbaya
 
Mada ipo clear na inaeleweka
Sema nyie mlivyo soma neno bikra kasheshe ikaanzia hapo
Tena kuna mdau huko juu amesema kabisa mada inazungumzia mabinti wa under age
Mada ipo wazi kabisa inazungumzia wasichana wadogo wanaorubuniwa

Halafu baadae kuja kutupiwa lawama na wanaume ambao wanaume hao kwa namna moja au nyingine nao walishiriki matendo ya ngono na hao wasichana
Acha uongo, kubali hujui kuandika. Ni wapi uliona mwanaume anarubuni msichana wa miaka 13/14 anambikiri kisha lawama zinaishia kwa msichana? Kwanza unamuita msichana wa 13/14 mwanamke? Hujui kwamba kosa la kutembea na msichana wa 13/14 linampeleka mwanaume jela kwa miaka 30? Usitetee upotofu katika kuandika kichwa cha thread. Kubali thread yako ina mapungufu jifunze kuandika vizuri
 
Sawa mkuu nimekubali sijui kuandika hilo linatosha?
 
Jambo nililojifunza ni kuwa wanawake wengi sana wanaumia roho pale mwanaume anapoanza kuzungumzia bikra Tena hususa mbele ya mwanamke ambae alipoteza bikra yake kipumbavu na kijinga. Hili nimeliona na wanawake huanza kuumia roho na kumuona huyo mwanaume anaezungumzia bikra ni mbaya
Una uhakika kila anaongea kuhusu bikra anaumia?
Unadhani kila mwanamke anaesimama upande wa wanawake wenzie kwenye jambo fulani lazima awe alipita kwenye hilo jambo?

MF: mimi una uhakika bikra yangu ilitolewa kwa mazingira hayo?

Mimi binafsi unanijua kwamba niliolewa au nimeolewa na sikua najua mwanaume kabla ya ndoa au vinginevyo?

Kwenye kujadili mada za kijami kama hizi jifunze kujadili kwa reasoning bila kutumia hisia

Mimi ndio maana unaweza kukutana kwenye uzi mmoja najenga mjadala na fulani na mwingine nikawa na mpuuza

Maana unakuta mtu ana comment kwa kukariri na kutumia hisia peke hapo siwezi kumaliza energy yangu

But kupitia comment za watu najifunza vingi kiasi unaona comment ya mtu mpaka unajiuliza kama ameandika akiwa mzima au kakatika kicwa

Mwisho wa siku kila mtu yupo huru kutoa moni yake
 
Unajua kwanza wewe unaedai watu wafanye reasoning kwenye midahalo bila kutumia hisia, wewe mwenyewe unatumia hisia?.

Hivi mtu anaposema nimejifunza wanawake wengi wanakuwa wanaumia mtu anapokuwa anazungumzia bikra mbele yao. Je neno wanawake wengi linajumuisha idadi ya wanawake wote au baadhi ya wanawake?.

Je katika comment yangu nimekutaja wewe kama main character wa nilichoelezea mbaka wewe uje utolee kama mfano na kama sio ni Nini kilichokufanya ujitolee mfano.

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kama nna hio haki ya kutoa maoni shida iko wapi mbaka uje na maneno ya kukatwa kichwa au kutumia akili kama ulichosema katika comment yako?.

Mwisho namalizia Kwa kusema Mimi sina ugomvi na Mwanaume anae Owa mwanamke asie na bikra Kwasababu ni maamuzi ya mtu binafsi na Wala siwezi kumlaumu Kwa maamuzi yake.
ila Kwa upande wangu Mimi Siwezi kuowa mwanamke asie na bikra Kwasababu ni maamuzi yangu na hakuna wa kunilaumu na kunihoji juu ya Hilo swala.
 
Thibitisha basi kama ni kweli
Mimi mara zote kwenye mada zangu naepuka mnoo kuegemea upande
Hasa kwenye mada za jinsia mwanamke na mwanaume
Ndio maana hata kwenye mada yangu sijaegemea upande wa mwanamke badala yake nimetaka usawa

Nimekemea tabia ya wanaume kujifanya swala la bikra hawahusiki
nimekemea tabia ya kumbebesha mzigo mwanamke huku wao wakijitoa

Kuna mdau alie comment huko juu anasema et malezi ya mtoto wa kike ni ya mama pekee nimeshangazwa

nachojua malezi ni ya pande zote mbili baba mama na jamii kwa ujumla

Hata swala la bikra ni la mwanaume na mwanamke kwa sababu wote hushiriki

Nimejitolea mfano kwa sababu kwenye huu uzi wenye pages zaidi ya 19 comment za wanawake mbali na mimi ni mbili tu
Nisingeweza kutolea mfano mtu mwingine nisiemjua

Na pia ukiangalia kwenye uzi wangu sikusema ni wanaume wote nimesema ni baadhi

Huo msemo ni kweli ambayo siwezi kuifuta ni ajabu kwa mwanaume anaetongoza mwanamke kisha baadae kusema hana kosa lolote kwa sababu huyo mwanamke ana uwezoo wa kukataa

Anasahau kosa la kwanza ni yeye alifanya kwa kuchukua hatua
Ya kwenda kutongoza

tena kwa kutongoza mtoto under age na kimsingi hii mada imejikita kwa hao mabinti wadogo

huwezi kusema unatongoza binti mdogo na kusema kama angekua hataki angekukatilia kwa ukomavu upi alionao?

kuandika hivi au kusema hivi ni kama mtu aliekatika kicwa na hawezi kutumia akili na ubongo wake vizuri

Upo sahihi kabisa kwa sababu kila mwanamke alikua bikra hapo mwanzo

Wala hakuna wa kukuhoji wala kukulaumu mjadala ni ilikua kwamba huyo mwanamke bikra unaemtaka
Je umeshiriki kumlinda ili umuoe?
 
Bikra ni ishara njema kwamba mwanamke huyo kajitunza kimwili na kaepuka tamaa za kingono na heshima ziende kwa wazazi wake kwa kumlea vyema Binti yao.

Sizunguzii wale wa kule zenji wenye bikra ya mbele angali ya nyuma haipo.

Wewe kama hukulinda ya kwako shauri yako.

Kama Bado wewe ni bikraa hongera.
Hao wa Zenji uliwahi kukutana nao au ulikuta tu stories ukaziamini na kuanza kuhadithia?
 
Thibitisha basi kama ni kweli
Mimi mara zote kwenye mada zangu naepuka mnoo kuegemea upande
Hasa kwenye mada za jinsia mwanamke na mwanaume
Ndio maana hata kwenye mada yangu sijaegemea upande wa mwanamke badala yake nimetaka usawa

Nimekemea tabia ya wanaume kujifanya swala la bikra hawahusiki
nimekemea tabia ya kumbebesha mzigo mwanamke huku wao wakijitoa

Kuna mdau alie comment huko juu anasema et malezi ya mtoto wa kike ni ya mama pekee nimeshangazwa

nachojua malezi ni ya pande zote mbili baba mama na jamii kwa ujumla

Hata swala la bikra ni la mwanaume na mwanamke kwa sababu wote hushiriki

Nimejitolea mfano kwa sababu kwenye huu uzi wenye pages zaidi ya 19 comment za wanawake mbali na mimi ni mbili tu
Nisingeweza kutolea mfano mtu mwingine nisiemjua

Na pia ukiangalia kwenye uzi wangu sikusema ni wanaume wote nimesema ni baadhi

Huo msemo ni kweli ambayo siwezi kuifuta ni ajabu kwa mwanaume anaetongoza mwanamke kisha baadae kusema hana kosa lolote kwa sababu huyo mwanamke ana uwezoo wa kukataa

Anasahau kosa la kwanza ni yeye alifanya kwa kuchukua hatua
Ya kwenda kutongoza

tena kwa kutongoza mtoto under age na kimsingi hii mada imejikita kwa hao mabinti wadogo

huwezi kusema unatongoza binti mdogo na kusema kama angekua hataki angekukatilia kwa ukomavu upi alionao?

kuandika hivi au kusema hivi ni kama mtu aliekatika kicwa na hawezi kutumia akili na ubongo wake vizuri

Upo sahihi kabisa kwa sababu kila mwanamke alikua bikra hapo mwanzo

Wala hakuna wa kukuhoji wala kukulaumu mujadala ni ilikua kwamba huyo mwanamke bikra unaemtaka
Je umeshiriki kumlinda ili umuoe?
Jukumu la kulinda bikra ya mwanamke lipo mikononi mwake mwenyewe yeye mwanamke na wazazi wake. Sio Kwa mwanaume hata mara moja. Mwanaume Hana Jukumu la kulinda bikra ya mwanamke ambae hajamuoa ila anajukumunla kumshauri na kumlinda mwanae wa kike.

Kuhusu swala la mwaume kuoa bikra lazima na yeye awe bikra ni vigezo ambavyo sio vya sawa, swali langu kwako je mwanamke anapoweka vigezo vya mwanaume wake lazima awe na pesa au awe handsome au awe na elimu au na kadhalika Kuna mwanaume analalamika kusema wanawake wanatuonea?, Si Kila mtu ananyamaza, Basi kadhalika wanawake wanatakiwa wajue vigezo vya wanaume regardless vitakuwa vichungu kwao Kwasababu hata wanawake wanapodai wanaume wenye pesa ( Tena unakuta yeye mwanamke Hana hizo pesa) na ihali Kuna wanaume ambao wasiokuwa na pesa mbona hawaoni kama ni unyanyasaji, au hawadai usawa?.

Mwisho niseme hakuna haja ya wanawake kusema kama unataka kuoa bikra lazima na wewe uwe bikra Kwasababu wakisema hvy basi Moja Kwa Moja mwanaume anakuwa na haki ya kusema ukitaka mwenye pesa basi hakikisha na wewe pia una za kwako ndy muwe pamoja.
Kuhusu swala la mtu mwenye umri wa miaka 30 kutembea na Binti wa miaka 13 au 14 hili siliungi mkono na ni uchafu unaopaswa kukemewa pia
 
Mkuu ni kweli jukumu la kulinda bikra ni la muhusika mwenyewe,hilo halina ubishi,

Mfano,kuna Mwanaume ambaye vigezo vyake ni kuoa Mwanamke mwenye bikra,ila Mwanaume huyo,unakuta kuna wanawake kawatoa bikra bila kuwaoa,kifupi ina maana kua,yeye pia anaharibu kitu ambacho yeye mwenyewe hata taka kiwe kimeharibika atakapo taka kuoa,

Kuna Wanaume wamewatoa bikra wanawake kwa ahadi za kuwaoa ila hawakuwaoa,hapa ni sawa na kuchezea feeling za mtu,kitu ambacho ni cha hatari,The biggest coward of a man is to awaken the love of a woman without the intention of loving her.
 
Back
Top Bottom