ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Ujie hapo umefanya personal attack, topic ipo wazi kwa wote, sio kwangu.Hapa majibu unayo mwenyewe
Upo tayari binti yako mdogo awindwe
Kwanini uwinde watoto wadogo hakuna mashindikana mtaani mpaka uharibu watoto wa watu ?
Mnafaa kuona aibu ku comment kama hivi licha ya kua ni I'd fake
Again, hatumuongelei underage, hatuongelei mtoto wa 12yrs hapa, hiyo ni molestation ambayo ukikutwa na hatia ni miaka 30 jela.
Tuongelee binti mwenye utashi ambaye kisheria anasimama mwenyewe, hata akiwa binti yangu, if she's 18+ na kakubali kwenda kinyume na tulivyomfundisha, trust me dunia itafanya kumfundisha.