Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Mtoto wa kike aliyevu

Huwezi ku judge individual decision generally.



Kitamaduni, baada ya mtoto wa kike kuvunja ungo mambo kama hayo aelekezwe na mama yake, sisi sio wazungu, we should live and abide to customs as Africans
Umechukua muda mrefu kuja ku ni quote majibu rahisi hivi?

Kama hujui malezi ya mtoto ni ya wazazi wawili sasa unadhani nitakuambia nini uelewe mkuu?
 
Wewe kwanini ulikubalia kumvulia chupi Mwanaume ambaye hajakuoa ??
Umeshakosa hoja tayari umekimbilia huku 😅😅

Jikaze kwanza kwanini mpaka umri huo hujapata mwanamke bikra huoni wanaume wenzio ni wa kukemea kwa ufujaji?
 
Hivi upo timamu kweli wewe?
Unataka kujadili bikra yangu kwani mada inaongelea bikra yangu

Mbona unakosa akili kidogo?
Kwani hutaki ya kwako ijadiliwe hali yakuwa upo unajadili za wengine?
Najua hiyo bikra huna ulisha iuza kwa chips na ndo maana unapaniki ni kutokea na mapovu Kila nikikuuliza suala la bikra yako.😂😂😂😂.
 
Wanawake wengine hawaelewi hili somo.
Mwanaume hamfosi mwanamke kwenda kwake kutolewa bikra. Umetaka kutolewa bikra na mwanaume ambae hayuko tayar kukuoa,hustie huruma baadae.
Jibu kwanza kwanini utongoze binti mdogo ambaye hajakomaa ki fikra
Huku ukitegemea akukatae ?

Mkuu hebu tafakari kidogo usiwe mfata mkumbo

Unapomtongoza huyo binti mdogo huku wewe baadae ukitegemea kuoa bikra je ni bikra ipi unayoitaka
 
Mwanamke asiye na bikra maana yake hakujipa thamani ambayo anastahili, Mimi nawezaje kumpa thamani wakati hakujipa yeye.

Kama aliweza kurubuniwa akampa thamani mtu X anashindwajw kumpa mtompo watu wengine
 
Narudia acha kurukaruka kwanini utongoze huku ukijua huna nia ya kumuoa huyo mtoto tena under age

Jibu swali langu
Mfano rahisi:
• Mimi nikija kwako kukutongoza nitakulazimisha ukubali?
° imagine, mwanaume kishakwambia anataka uwe mpenzi wake...
• Hufkirii mbeleni kuna nini...?
• Kakwambia atakuoa..?
• Au umemkubalia kisa ushaanza kunyanyua makwapa na kutanua mapaja ukijinyoa ...?

Hakuna mwanamke ambaye hatongozwi, lakin uwamuz utabaki kwake,kukubali au kukataa...

Wewe unahisi wanawake walioolewa wakiwa mabikra walikuwa hawatongozwi huko mitaani...?

Wewe unahisi wanawake ambao bado ni mabikra hawatongozwi...?
 
Kwani hutaki ya kwako ijadiliwe hali yakuwa upo unajadili za wengine?
Najua hiyo bikra huna ulisha iuza kwa chips na ndo maana unapaniki ni kutokea na mapovu Kila nikikuuliza suala la bikra yako.😂😂😂😂.
Upo timamu lakini mkuu nisije kua najaribu kujadili na mjinga ?

Nakushauri soma tena mada ikibidi omba uelekezwe usipoelewa nitakuelewesha

Huko juu ni ku quote hivi: FICHA UPUMBAVU WAKO hata kama unatumia I'd fake
 
kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza, utasilia usioe singo maza wakati anayesema hivyo siajabu ana watoto nje ya ndoa.

hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation nafikiri labda next generation iq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn until then kazi bado ipo ...
 
WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI

ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako

UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani

Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?

Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?

Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?

Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya

Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao

Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo

Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?

Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?

Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo

Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18–24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18

Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia

Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe 📌


Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!

Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi


Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana

Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?

Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?

Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?

Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?

Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?

Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?

MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?

ShesRise_1 ✋️
Sawa kuna ushawishi wa wanaume lakini ni lazima mwanamme aweze kujisimamia kukataa kushawishiwa kwa sababu yeye ndiye anayetoa gap kwa mwanaume amshawishi hasa pale anapokubali kuendelea kumsikiliza na anajua lengo la mwanaume huyo ni lipi
Lakini pia malezi ndo imekuwa changamoto kubwa sana kwa kizazi cha sasa hivi na watu kutokumheshimu Mungu
 
Mwanamke asiye na bikra maana yake hakujipa thamani ambayo anastahili, Mimi nawezaje kumpa thamani wakati hakujipa yeye.

Kama aliweza kurubuniwa akampa thamani mtu X anashindwajw kumpa mtompo watu wengine
Umepima thamani ya mwanamke kwa kupoteza bikra yake wewe thamani yako tunaipima vipi ?
 
Jibu kwanza kwanini utongoze binti mdogo ambaye hajakomaa ki fikra
Huku ukitegemea akukatae ?

Mkuu hebu tafakari kidogo usiwe mfata mkumbo

Unapomtongoza huyo binti mdogo huku wewe baadae ukitegemea kuoa bikra je ni bikra ipi unayoitaka
Kukomaa kifikra...!!??
Umemshikia bunduki ili akubali..? Au kakubali kwa utashi na kutaka kwake.
 
kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza.

hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation labda next generationiq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn unrtil then kazi bado ipo ...
Mkuu ulishawahi kuoana Mwanaume anajiuza au danguro la wanaume??
 
Back
Top Bottom