ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
Jikite kwenye madaKwani wanawake wameanza kuoa wanaume na kuwatolea Mahari??
Jikite kwenye madaKwani wanawake wameanza kuoa wanaume na kuwatolea Mahari??
Haina maana yoyoteBikra,, Bikra,, kila kukicha bikra,, bikra. Mimi naona haina maana.
Hakika mwanaume asiewahi kushiriki tendo ana haki ya kudai mwanamke bikra sio hawa waharibifuBikra ya mwanaume imekaaje! Ambae hajawahi ku -sex maishani nae ni bikra. Sasa huyu aungane na mwanamke bikra, ndio ndoa halisi na ya kudumu. Kila mtu anamjua mwenzake ndivyo alivyo. Kama ni bamia na wanaume wote ni bamia.
Kwanini utongoze huku ukijua unaemtongoza huna nia ya kumuoaMwanamke analaumiwa sababu yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho,(kukataa)
Mwanaume anapotongoza haweki ulazima wa kukubaliwa.
Sijasema nyie mnapaswa kulaumikaSisi tena ndio tunalilia? Kwa mujibu wa mtoa mada sisi ndio tunapaswa kulaumika kwa vitu ambavyo viko kwenye miliki ya wengine?
Ndio maana nimesimama upande wa opposer na kusema hapana habari ya bikra ya MWANAMKE alaumiwe mwenyewe anapoteza nje ya matarajio na akiitunza apongezwe na sio lawama za kupoteza bikira atwishwe mwanaume.
Na kama Bikra hazina umuhimu wowote na mjadala huu ufungwe
Hivi upo timamu kweli wewe?Mbona kama ww ndo una makasiriko kwa sababu swali nililo kuuliza jibu lake ni rahisi sana tu sasa nashangaa unapaniki.
Kwani hizo bikra tunazo jadili hapa ni za mbwa au wanazo watu kama ambao pia na wao suala la bikra ni suala binafisi ?
Au ww ya kwako ni tofauti na ya wengine mpaka isijadiliwe kama unavyo jadili za wengine?
Nimekuuliza hili swali nikiwa na maana yangu ili nijue umesimamia engo gani katika mada yako,kama bikra yako ilitolewa kwa kubakwa,au ukiwa na umri mdogo sana usio jielewa basi una haki ya kuanzisha mada ya kuhoji uhalali wa madai ya wanaume kutaka bikra.
Lakini kama ilitolewa ukiwa mtu nzima unajielewa huna haki ya kuja kuhoji uhalali wa madai ya wanaume kutaka bikra.
Sijasema wanaume ndio wana uamuzi
Lakini wao wanachangia pakubwa sana hii tuseme wazi mwanaume wa miaka 30+ ana mrubuni binti mdogo wa mika 13 14 ...... hivi hapo huoni kama mwanaume ni tatizo
Kwa umri wa huyo binti baado hajakomaa kifra kuweza kukwepa mitego mingi tusilembe mwandiko
Umeelewa sanaNimeona wengi hawajamuelewa mleta mada,
Issue ni kwamba,kwa kawaida,Mwanamke anatolewa bikra yake na mwanaume,haijalishi walipatana au hawakupatana mpaka ikapelekea huyo mwanamke kupoteza hiyo bikra yake,kwa lugha nyepesi hapa ni kwamba,bikra hiyo imepotea kwa ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume,
Hoja ya mleta mada anauliza kwamba,sasa kwanini lawama ziende kwa mwanamke peke yake?
Nafikiri mjadala upo kwenye hiyo hoja.
Kwanini wewe mwanaume ulaghai mtoto wa mwanaume mwenzioAkina mama wazazi na walezi ndo mna jukumu la kwanza kuhakikisha msichana anatunza bikra yake na kukwepa ulaghai, mnalitimiza hilo jukumu effectively? Au mko bize tiktok?
Mwenye tamaa ni wewe usieweza kujizuia na kwenda kumlaghai under age huoni kama wewe ni mtu mzima hovyo kwa kufanya kitendo hicho?Hapana wanauwezo Mkuu, sema tamaa zimewazidi, wanataka vitu vizuri bila kujua kuwa vitu vizuri ni gharama. Wanapenda mteremko wapelekwe shule na boda na kuchukuliwa na boda bure bure bila kujua hiyo boda inatumia mafuta. Hilo ni tatizo kubwa, na kama kweli tunakubaliana hawawezi kuhimili ushawishi basi lawama ziende kwa wazazi na walezi wao kuliko eti wao kupoteza bikira lawama ziende kwa wanaume hapo hapana
Issue hapa sio kubakwa Issue ni wewe mwanaume mwenye ndevu zako kwenda kumrubuni mtoto ambae hajakomaa kihisia ki akili na hana maarifa makubwaKati ya 100% ya wasichana wasio na bikra ni % ngapi walibakwa? More than 50% wametoa utamu kwa hiari yao na kwa tamaa zao.
# Bikra unayo?#
Kwenye nyuzi zangu ukijijua ni kilaza na huwezi kujenga hoja usijeTunza tundu hilo kama limeshatapanywa basi!
Nashangazwa na hawa wanaume wanaotaka bikra kila siku huku wao wenyewe....... upuuzi tuHivi mpaka mwaka huu bado watu wanashughulishwa na bikra!!! Bikra ndio nini katika maisha ya kila siku, mtoa mada wala usishereheshe jambo hilo, mambo ya bikra ni matokeo ya mfumo dume, kila mtu ana haki ya kutumia kifanyio chake awezavyo ila linapokuja suala la maisha hapo inahitaji ukomavu wa kimwili, kiakili, uvumilivu na zaidi ya yote upendo, bikra ni kauzi flan hivi kakishatoka ndio basi ila maisha ni kitu endelevu hadi kifo kiwatenganishe,
NB: Wanaobaka au kuwarubuni mabinti wadogo wahasiwe
Nyie ndio mnawaita hivyoUkitaka tujadiliane vizuri ebu tumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe. Kulikuwa na haja gani ya kuita wadada waliotumika "Makombo".
Ficha ujinga wako maana unajivua nguoAre you out of your mind? Kwani wewe mwanamke hujui kuwa mwanaume akikutongoza anataka nini mbali na hiyo kukuoa? Kaa chini ufikiri wanaume ni hawa hawa, na wanawake ni hawa hawa miaka ya nyuma wanawake waliwezaje kukaa na bikira zao? Wanaume wenye ushawishi hawakuwepo, wanaume wenye pesa hawakuwepo? Au tuseme wanaume wa zamani walikuwa hawana tamaa ya wanawake?
Ukweli ni huu wanawake walikuwa na misimamo hawakuwa easy going ilikuwa unatongoza mwanamke mwaka mzima, akikukubalia mnaanza safari nyingine ya kutongoza upate mbususu na tena ukianza hizo stori unapigwa Kibuti, vipi wanawake wa sasa? Hawa wanaoshindana tena wengine wanacheza kwa kuweka chupa inaingia kwa Bibi kule ndio uko kupeleka lawama kwa wanaume kuhusu kupoteza bikira zao?
Vitoto havina adabu siku hizi, vinajipeleka vyenyewe kwa boda boda kwa tamaa za lift, chips kavu na peps,
NARUDIA TENA ISSUE YA MWANAMKE KUTOKUWA NA BIKRA NI LA MWANAMKE MWENYEWE, NA LAWAMA ANAIBEBA MWENYEWE NA NDIO MAANA HATA MATOKEO YAKE ANAYAPATA MWENYEWE. FIKIRIA MWENYEWE ULIPOTEZAJE BIKRA YAKO?.
Pitia comment uone uozo hovyo kabisaActually wanaume ndo wa kulaumiwa zaidi kwa kurubuni vitoto vya miaka 14-16! Lakini conservative na watu wa mfumo dume utasikia hana bikira utadhani kajitoa mwenyewe!
Wewe kaa kando huna hojaHivi mada ungeiacha tu maana unachotafuta ni makasiriko, suala la kutunza bikra liko mikononi mwa Mwanamke mwenyewe halihusiani na mwanaume hata.
Kuna wanawake wameolewa na bikira zao, kwamba wao walikuwa hawatongizwi au kushawishiwa kwa namna yoyote na wanaume? Hapana waliamua kubana mapaja yao licha ya ushawishi walioupata, ukiwauliza wao unafikiri watapeleka lawama kwa mwanaume?
Ona huyu huwezi kuficha upumbavu wako licha ya kua unatumia I'd fake?Ninakielewa sana tu, mm kuwarubuni mabinti nikalala nao nikawatoa bikra na kuwatia usingo mother hakuwezi kunizuia mm kuwasema kwa upumbavu wao.