Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Niko hapa na 🍿 kusoma UNAFIKI wa waja.
Natafuta Ajira njoo hapa, ueleze kinaga ubaga kwenye hili.
Hivi ww ukiacha mlango wako wazi wezi wakaingia ndani wakakuibia hapo mpumbavu anakuwa mwizi au ana kuwa ni ww mwenye mali?
Au Leo hii magaidi wakaingia Tz wakauwa watu utawalaumu hao magaidi au utailaumu serikali yako kwa kishindwa kuwazuia hao magaidi?
Mwenye mwili ni mwanamke hivyo ww ndo mwenye jukumu la kuulinda na sio mm mwanaume.
Mlango wa zinaa uko kwa mwanamke ili zinaa ifanyike ni lazima mwanamke akubali
Na ndo maana hata ww hapo tangu umebalehe hujaliwa na Kila aliye kutongoza bali umeliwa na uliye mkubali akukule.
Ww kama una binti yako nyumbani mfundishe thamani ya mwili wake ili authamini kutegemea mwanaume akulindie mwili wa binti yako ni sawa na kumtupia nyama mbwa ukitegemea kuwa hatajizuia kula.
 
Mwenye Bikra ni mwanamke na hiyo bikra yenyewe ni ndani ya maungo yake haswa na ili uipate lazima upate kibali kutoka kwake mwenyewe, na hata ukipata kibali kuitoa bikira yenyewe lazima jasho likuvuje maana mtafutano sio mdogo.
Et hata ukipata kibali hivi huoni aibu kwanini unaomba kibali cha kumtoa bikra msichana mdogo huku ukijua humuoi?

Unajiangalia unachoandika kweli?
Kwa maelezo hayo mwanaume anaingia wapi kwenye hiyo lawama kama mtoa kibali ni mwanamke mwenyewe? Na mtunzaji wa hiyo bikra ni yeye mwenyewe, kuna kesi chache sana za wanawake waliobakwa, ila wengi wao wametoa kwa hiari yao wenyewe, kwa tamaa zao za pesa au kwa kushawishiwa na wanaume maana bila ushawishi huwezi ipata.
Kwanini umshawishi mwanamke tena mdogo ambae bado hajakomaa kifkra

Kwanini usimlaumu huyu mwanaume mshenzi?
Suala la Bikra wa kubeba lawama ni mwenye nayo, maana ilikojificha hamna anaweza ipata ni mpaka mwenye nayo akupe
Akili gani hizi ?
 
Mimi nitawatetea waliobakwa nyie wa chips mayai mtajua wenyewe! Pongezi ziende kwa muumba hapa kweli kawashughulikia wanawake! Ukitaka wanawake watokwe na mishipa ya shingo we leta mada ya bikra. Na mwisho kama bikra si chochote kwanini ulete mada kama hii?
 
Hivi ww ukiacha mlango wako wazi wezi wakaingia ndani wakakuibia hapo mpumbavu anakuwa mwizi au ana kuwa ni ww mwenye mali?
Au Leo hii magaidi wakaingia Tz wakauwa watu utawalaumu hao magaidi au utailaumu serikali yako kwa kishindwa kuwazuia hao magaidi?
Mwenye mwili ni mwanamke hivyo ww ndo mwenye jukumu la kuulinda na sio mm mwanaume.
Mlango wa zinaa uko kwa mwanamke ili zinaa ifanyike ni lazima mwanamke akubali
Na ndo maana hata ww hapo tangu umebalehe hujaliwa na Kila aliye kutongoza bali umeliwa na uliye mkubali akukule.
Ww kama una binti yako nyumbani mfundishe thamani ya mwili wake ili authamini kutegemea mwanaume akulindie mwili wa binti yako ni sawa na kumtupia nyama mbwa ukitegemea kuwa hatajizuia kula.
Shida ni huyo Mwizi au Gaidi kumlaumu aliyeibiwa au kuuumizwa, kwanini hakujilinda au kutunza mali zake.

Soma hiyo kwa umakini, na utaelewa hoja.
 
Hivi mpaka mwaka huu bado watu wanashughulishwa na bikra!!! Bikra ndio nini katika maisha ya kila siku, mtoa mada wala usishereheshe jambo hilo, mambo ya bikra ni matokeo ya mfumo dume, kila mtu ana haki ya kutumia kifanyio chake awezavyo ila linapokuja suala la maisha hapo inahitaji ukomavu wa kimwili, kiakili, uvumilivu na zaidi ya yote upendo, bikra ni kauzi flan hivi kakishatoka ndio basi ila maisha ni kitu endelevu hadi kifo kiwatenganishe,

NB: Wanaobaka au kuwarubuni mabinti wadogo wahasiwe
 
Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?
Ukitaka tujadiliane vizuri ebu tumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe. Kulikuwa na haja gani ya kuita wadada waliotumika "Makombo".
 
Et hata ukipata kibali hivi huoni aibu kwanini unaomba kibali cha kumtoa bikra msichana mdogo huku ukijua humuoi?

Unajiangalia unachoandika kweli?

Kwanini umshawishi mwanamke tena mdogo ambae bado hajakomaa kifkra

Kwanini usimlaumu huyu mwanaume mshenzi?

Akili gani hizi ?
Vip ww bikra yako ilitolewa ukiwa bado mdogo ukiwa hujielewi au bado unayo tuanzie hapo kwanza.
 
Et hata ukipata kibali hivi huoni aibu kwanini unaomba kibali cha kumtoa bikra msichana mdogo huku ukijua humuoi?

Unajiangalia unachoandika kweli?

Kwanini umshawishi mwanamke tena mdogo ambae bado hajakomaa kifkra

Kwanini usimlaumu huyu mwanaume mshenzi?

Akili gani hizi ?
Are you out of your mind? Kwani wewe mwanamke hujui kuwa mwanaume akikutongoza anataka nini mbali na hiyo kukuoa? Kaa chini ufikiri wanaume ni hawa hawa, na wanawake ni hawa hawa miaka ya nyuma wanawake waliwezaje kukaa na bikira zao? Wanaume wenye ushawishi hawakuwepo, wanaume wenye pesa hawakuwepo? Au tuseme wanaume wa zamani walikuwa hawana tamaa ya wanawake?

Ukweli ni huu wanawake walikuwa na misimamo hawakuwa easy going ilikuwa unatongoza mwanamke mwaka mzima, akikukubalia mnaanza safari nyingine ya kutongoza upate mbususu na tena ukianza hizo stori unapigwa Kibuti, vipi wanawake wa sasa? Hawa wanaoshindana tena wengine wanacheza kwa kuweka chupa inaingia kwa Bibi kule ndio uko kupeleka lawama kwa wanaume kuhusu kupoteza bikira zao?

Vitoto havina adabu siku hizi, vinajipeleka vyenyewe kwa boda boda kwa tamaa za lift, chips kavu na peps,

NARUDIA TENA ISSUE YA MWANAMKE KUTOKUWA NA BIKRA NI LA MWANAMKE MWENYEWE, NA LAWAMA ANAIBEBA MWENYEWE NA NDIO MAANA HATA MATOKEO YAKE ANAYAPATA MWENYEWE. FIKIRIA MWENYEWE ULIPOTEZAJE BIKRA YAKO?.
 
Hizo bikra zinapigiwa kelele tu huku mtandaoni..

Lakini ukiingia kitaa hao hao wapiga kelele za bikra wanapita na chochote kinachopatikana iwe un bikra single maza , mishangaza yenye mapengo yani ni tafrani tu.
na kiuhalisia mwanaume huwa hapati mwanamke mwenye vigezo anavyotaka yeye bali hufikiq hatua anachuakua anayepatikana kwa wakati huo
 
Actually wanaume ndo wa kulaumiwa zaidi kwa kurubuni vitoto vya miaka 14-16! Lakini conservative na watu wa mfumo dume utasikia hana bikira utadhani kajitoa mwenyewe!
 
Hivi mada ungeiacha tu maana unachotafuta ni makasiriko, suala la kutunza bikra liko mikononi mwa Mwanamke mwenyewe halihusiani na mwanaume hata.

Kuna wanawake wameolewa na bikira zao, kwamba wao walikuwa hawatongizwi au kushawishiwa kwa namna yoyote na wanaume? Hapana waliamua kubana mapaja yao licha ya ushawishi walioupata, ukiwauliza wao unafikiri watapeleka lawama kwa mwanaume?
 
Unajua ulicho kiandika kweli?
Ninakielewa sana tu, mm kuwarubuni mabinti nikalala nao nikawatoa bikra na kuwatia usingo mother hakuwezi kunizuia mm kuwasema kwa upumbavu wao.
 
Back
Top Bottom