ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #101
Ila wanaume bana mnachekeshaUkiwaacha underage ambao kisheria wanaonekana hawana uwezo na ukomavu wa kujiamulia mambo, wengine wote wanaamua wenyewe lini bikra itolewe na nani aitoe. Hawa wasilaumu watu(in case kuna lawama)
Mtu asiye bikra anatolewa mahari ili iweje, kwa kipi hasa. Au maana ya mahari nini?
Swali lako moja kwa moja
Wewe ulioa bikra ?
Wakati huo na wewe hukua umewahi kulala na mwanamke mwingine?
Kama yupo huyo ulielala nae unamuachia nani?
Swala la mahari ni swala la mila na desturi