Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Umepima thamani ya mwanamke kwa kupoteza bikra yake wewe thamani yako tunaipima vipi ?
Mimi napima thamani ya mwanamke kwa kuangalia IQ yake na Bikra

Issue ya nyie mnanipima vipi ni ya kwenu hainihusu ndio maana wengine wanasema wanataka mwanaume mrefu, mweusi, mwenye ndevu, mwenye Hela, mwenye six pack, mwenye gari na Mengine mengi

Mi nataka BIKRA
 
kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza, utasilia usioe singo maza wakati anayesema hivyo siajabu ana watoto nje ya ndoa.

hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation nafikiri labda next generation iq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn unrtil then kazi bado ipo ...
Ooh my gosh, I'm so excited kuona comment kama hii kwenye huu uzi!

Wewe ni mtu wa pili au wa tatu ambaye ni mwerevu na unastahili maua

Sisemi hivi kwa sababu tuna mitazamo sawa, ila ni kwa sababu umeongea ukweli, tena kweli tupu

Wanaume wa aina yako ni wachache. Ningeomba pia hawa wengine ambao hawawezi kutumia akili zao vizuri kuhusu hili swala wajifunze kutoka kwako

Waache kuwa selfish Period
 
Mimi napima thamani ya mwanamke kwa kuangalia IQ yake na Bikra

Issue ya nyie mnanipima vipi ni ya kwenu hainihusu ndio maana wengine wanasema wanataka mwanaume mrefu, mweusi, mwenye ndevu, mwenye Hela, mwenye six pack, mwenye gari na Mengine mengi

Mi nataka BIKRA
Twende taratibu wewe ni bikra?
I mean hujawahi kulala na mwanamke yoyote?
 
WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI

ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako

UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani

Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?

Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?

Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?

Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya

Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao

Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo

Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?

Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?

Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo

Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18–24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18

Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia

Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe 📌


Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!

Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi


Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana

Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?

Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?

Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?

Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?

Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?

Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?

MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?

ShesRise_1 ✋️
Binadamu ndiye kiumbe pekee kitacho hukumiwa sababu, Mungu amempa AKILI ya kufanya maamuzi ya mazuri na mabaya. Bikra ni mali ya mwanamke yeye ndiye mwenye control na kufanya maamuzi juu ya tunu aliyopewa na Mungu na Mungu akampa na akili.

Utasema ameshawishia sawa ,okay mf leo ukamfuata binti,umekutana nae siku ya kwanza ukamwambua naomba unipe elfu 10,atakupa sababu umemshawishi?

Sawa kuna mabinti utasema hawana malezi, ila ukitizama bikra nyingi zinatolewa kwa sababu mbili ya kwanza ni tamaa ya fedha ya mabinti na pili fantansy/story hizi za kingono,kupenda kujaribu vitu vipya baada ya kubalehe ambavyo unaweza kuvicontrol na hivi vyote binti anaweza kuvicontrol kupitia akili aliyopewa na Mungu.
 
Kukomaa kifikra...!!??
Umemshikia bunduki ili akubali..? Au kakubali kwa utashi na kutaka kwake.
Mtoto under age?
Hivi unajiona unachoandika?

Nauliza tena kwanini utongoze huku ukijua huna malengo nae?
 
Kuna watu mnachekesha sana,

Bikra sio kigezo cha ndoa. Sahauni hilo, wanawake wenyewe wanasema, nikitunze kwani nitazikwa nacho?
 
Nilaumiwe mimi maana ndio kazi yangu ya kuhakikisha nazitoa as soon as possible
 
Binadamu ndiye kiumbe pekee kitacho hukumiwa sababu, Mungu amempa AKILI ya kufanya maamuzi ya mazuri na mabaya. Bikra ni mali ya mwanamke yeye ndiye mwenye control na kufanya maamuzi juu ya tunu aliyopewa na Mungu na Mungu akampa na akili.

Utasema ameshawishia sawa ,okay mf leo ukamfuata binti,umekutana nae siku ya kwanza ukamwambua naomba unipe elfu 10,atakupa sababu umemshawishi?

Sawa kuna mabinti utasema hawana malezi, ila ukitizama bikra nyingi zinatolewa kwa sababu mbili ya kwanza ni tamaa ya fedha ya mabinti na pili fantansy/story hizi za kingono,kupenda kujaribu vitu vipya baada ya kubalehe ambavyo unaweza kuvicontrol na hivi vyote binti anaweza kuvicontrol kupitia akili aliyopewa na Mungu.
Mkuu naelewa sana unachokisema
Kwanini analaumiwa binti mdogo wa umri asieweza kuachambua mambo kwa mapana

Ila anaacwa mwanaume mtu mzima timamu huku akikingiwa kifua kwamba hakumlazimisha binti

Nyie wanaume hamuwezi kukubali kua nyie ni waharibifu wa watoto wadogo?
 
kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza, utasilia usioe singo maza wakati anayesema hivyo siajabu ana watoto nje ya ndoa.

hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation nafikiri labda next generation iq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn until then kazi bado ipo ...
Mtoa mada kakusifia kwa huu upumbavu nani atakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Ukiambiwa uoe bikira maana yake umuoe kwanza ndipo uchunguze kama anayo au la?
 
Mkuu ulishawahi kuoana Mwanaume anajiuza au danguro la wanaume??

na shida inaanzia hapo, ukiona jamii ambayo mwanaume anashindana na mwanamke hiyo jamii ni failed, jamii zote zilizostaaribika wanaume wanawalinda wanawake zao hivyo ukiona watoto wa kike wanajiuza kwa kawaida ni kwa sababu their men failed them, wanaume wa hiyo jamii wameshindwa kuweka mazingira bora kwa wanawake wao waweze kuishi bila ya tabu, jamii civilized wanaume wanajenga mazingiza mazuri ili watoto wao wa kike waishi bila ya shida, na ndiyo maana hata vitani wanaokwenda ni wanaume, unajua ni kwa nini? kwa nini nchi zilizostaaribika wanaume wanaenda mbele vitani hata kufa huku wanawake na watoto wakibakia nyuma? ni kwa sababu ya kuwalinda.

jukumu kuu ya mwanaume ni kuilinda familia yake i.e mke na watoto wake, you take a bullet for your familly huo ndiyo uanaume na siyo kushindana kunywa konyagi, uanaume unakuwa tayari kuumia ili familia yako iishi huo ndiyo uanaume na siyo ubabe kushindana na mwanamke, ukiona mtu anayafanya hivyo basi ujue hajastaarabika (bado).

hivyo ukiona wanawake wanajiuza ni kwa sababu wanaume wa hiyo jamii wameshindwa kuwajengea mazingira mazuri na kuwalinda, jamii ikiharibika lawama ni kwa mwanaume, mwanaume ndiyo mwenye jukumu la kujenga nchi na siyo mwanamke lkn wanawake tanzagiza hawana jinsi inabidi waende mbele kupigana hata kufa kwa maana men failed them ....
 
Kuna watu mnachekesha sana,

Bikra sio kigezo cha ndoa. Sahauni hilo, wanawake wenyewe wanasema, nikitunze kwani nitazikwa nacho?
Waulize wao wana bikra kwanza au wameshajitibu gono mara 100 kwa uzinzi et leo anadai apate binti aliejitunza

Binti aliejitunza anastahili mwanaume aina yake tu si vinginevyo
 
Mtoto under age?
Hivi unajiona unachoandika?

Nauliza tena kwanini utongoze huku ukijua huna malengo nae?
Kwan kwa elimu ya kileo under age ndio hawa under 18...? (Right)
Mtoto kabaleh akiwa na miaka 13 (tayari anaweza kuzaa)

Tumalize mada:

Mimi natongoza, kwani ni lazima unikubalie?.
 
Mtoa mada kakusifia kwa huu upumbavu nani atakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Ukiambiwa uoe bikira maana yake umuoe kwanza ndipo uchunguze kama anayo au la?
Ameongea fact amenyooka kama rula wela makasiriko pembeni ujenge hoja mbali na hapo utaonekana kituko katikati ya watu waliostarabika
 
Mkuu naelewa sana unachokisema
Kwanini analaumiwa binti mdogo wa umri asieweza kuachambua mambo kwa mapana

Ila anaacwa mwanaume mtu mzima timamu huku akikingiwa kifua kwamba hakumlazimisha binti

Nyie wanaume hamuwezi kukubali kua nyie ni waharibifu wa watoto wadogo?
Mwanaume atalaumiwa na mwanamke atalaumiwa sababu ya kitu kimoja akili, ila atakaye laumiwa sana yule anaye imiliki sababu kapewa akili na utashi.
 
Kwanini ukubali kuchakatwa na mtu ambaye unajua hana nia ya kukuoa .

Kwanini ukubali kuwa nae kwenye mahusiano ya siri?

Kwanini usimwambie aende kwenu kama kweli anakupenda..?

Kwanini uwende kwake na ukubali procedure za kuchakatwa?
Una uwezo mdogo wa kufikiri japo kuwa unajifanya mjuaji.
Mwanaume ana vichache vya kupoteza kwenye ngono hali ya kuwa mwanamke anavyo vingi vya kupoteza.
Na ndio maana nasema kuwa itakuwa mpuuzi ukiacha mlango wazi ukitegemea eti wezi watajizuia kukuibia.
Mwanamke ndo mlango wa zinaa hivyo ili zinaa ifanyike ni razima mwanamke akubali.
Na ndio maana hata ww hujalala na wote walio kutongoza bali umelala na ulio wakubalia kulala nao Ina maana hata hao ulio lala nao ungetaka usingelala nao.
Linapo kuja kwenye suala la ngono faida kubwa ipo upande wa mwanaume hali ya kuwa hasara kubwa Iko upande wa mwanamke.
Mwanaume akilala na ww akakutoa bikra yeye anakuwa hajapoteza chochote ila ww unakuwa umepoteza bikra yako.
Au ukipata mimba mwanaume anakuwa hajapoteza chochote ila ww itakuwa umepoteza vingi kwa sababu hiyo mimba ndo utahangaika nayo miezi 9 na leba utaenda ww na hata ikiwezekana hiyo mtoto utahangaika naye ww wakati huo uliye fanya naye uzinzi yupo anaponda raha.
Katika hali kama hiyo usitegemee mwanaume atajali chochote kuhusu hilo kwa sababu athari yake kwake ni mdogo.
Ww mwenyewe mwenye mwili hujajua thamani ya mwili wako mpaka ukaamuwa kuugawa kwa mtu aufanye anacho taka alafu utegemee mwanaume mlio kutana ukubwa authamini mwili wako?
 
Kwan kwa elimu ya kileo under age ndio hawa under 18...? (Right)
Mtoto kabaleh akiwa na miaka 13 (tayari anaweza kuzaa)
Upo tayari kumuozesha binti yako wa miaka 13
Tumalize mada:

Mimi natongoza, kwani ni lazima unikubalie?.
Wewe unatongoza ili ukataliwe
Sasa kama ni hivyo utakua timamu kweli?
 
Back
Top Bottom