Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Kuzungumziwa kwa aje? Hapo mhanga ni mtoto wa kike na mind you habakwi ni kwa hiari yake.
Mtoto wa wa kike wa miaka 11 12 13 14 15 16 17 una mrubuni huku ukitaka akukatae
Kwanini usitafute mabinti wa miaka 18 + hivi hapa unatetea nini?
Mtoto wa kiume ni fahari kutoa bikra.
mtoto wa kiume ni ufahari kutoa bikra kwa binti mdogo au kwa mke wake?
Ukimlinda mtoto wa kike dhidi ya vishawishi na kina macho kuona umewin.
Mtoto analindwa na jamii nzima mkiwemo nyie wanaume kwanini mnajitoa na kusiliba tamaa zenu?
Watoto wa kike wanaanza ngono mapema kuliko wa kiume.
Wanaanza ngono mapema na akina nani?
Kidume akianza kushenyenta akiwa form one ni rahisi kuwatembezea gilrs wengi wa rika lake.
Kidume sio?
Kwanini hammshauri huyo kidume kutofanya ngono na watoto wakike katika umri mdogo

jukumu hilo mnataka liwe la mtoto wa kike ?
wanaume wa ki africa mmerogwa na nani?
Ndio maana nkakwambia watoa bikra ni wachache ila wamezitoa nyingi si ajabu alokutoa wewe kawatoa wengine 5.
Sasa kwanini msilaumu hao waliozitoa kwa makundi huku nyie mkibaki kutamani tu

Hamuoni adui wenu ni mwanaume mwenzenu?
 
Ndugu mleta mada je BIKRA yako ilitolewa kwa unyanyasaji ??
Hapana ilikua normal I mean mapenzi yangu
Je wanawake wanaolewa wakiwa BIKRA huwa wanafanyaje ??
Hakuna walichofanya isipokua walilindwa au walikua mbali na vishawishi na majingiri yenye tamaa

Mfano wa majingiri yanayozurula hapa kwenye mada hayshindwi kubaka hata mtoto mdogo ili apate bikra
Je mwanamke alietolewa BIKRA kwa tamaa zake anastahili kulipiwa mahari na Heshima ?
haya sasa yatakua mkubaliano ya wahusika
je Mwanaume aliyeharibu usichana wa Binti anastahili kuoa mwanamke mwingine akiwa BIKRA ?
Hastahili hata kunusa
 
mpaka hapa umejawa na jazba yaani nimeuliza swali vizuri ila inaonekana umefura haha tunzeni bikra msisingizie wanaume au et bikra inatolewa mara moja
Hamna niko poa mbona umesema nilinde kitobo nikakuambia na wewe ulinde chako sasa hapo jazba iko wapi 😅 kwani kweli wewe huna cha kulinda?
 
Mdogo wako which ?
Hakuna utetezi utakaokuja ukaeleweka mwanaume kumrubuni binti mdogo

Halafu hakuna lawama kwa mwanaume lawama ni huyo under age
Kitu kidogo kama hiki manashindwa kukielewa?

Kwanini mtongoze wasichana wenye umri mdogo ambao unajua kabisa hawajakomaa kiakili hivi huoni kama mwanaume ana shida ?
Under age?
Huoni kuna sheria siku hizi?

Hayo mambo ya ubakaji, na all that tayari yana sehemu yake kisheria.

Swala la bikira halijawahi kuwa jukumu la mwanaume hata siku moja, watoto wenyewe ndo wanapenda wapelekewe moto,

Si unakumbuka ile clip ya watoto wa form 4 walio kuwa wanasema wanawake wali de waume zao?

Ni kwamba nyie wenyewe mnapenda mashine, acheni kuleta vosingizio uchwara vya kurubuniwa
 
Hamna niko poa mbona umesema nilinde kitobo nikakuambia na wewe ulinde chako sasa hapo jazba iko wapi 😅 kwani kweli wewe huna cha kulinda?
Majibu yenye hulka mbaya, sa mwanaume anakitobo gani cha kulinda?
 
Under age?
Huoni kuna sheria siku hizi?

Hayo mambo ya ubakaji, na all that tayari yana sehemu yake kisheria.

Swala la bikira halijawahi kuwa jukumu la mwanaume hata siku moja, watoto wenyewe ndo wanapenda wapelekewe moto,

Si unakumbuka ile clip ya watoto wa form 4 walio kuwa wanasema wanawake wali de waume zao?

Ni kwamba nyie wenyewe mnapenda mashine, acheni kuleta vosingizio uchwara vya kurubuniwa
Haya
 
WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI

ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako

UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani

Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?

Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?

Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?

Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya

Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao

Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo

Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?

Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?

Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo

Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18–24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18

Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia

Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe 📌


Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!

Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi


Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana

Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?

Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?

Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?

Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?

Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?

Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?

MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?

ShesRise_1 ✋️
Mwenye wajibu wa kulinda Bikira ni mwanamke kwa kuwa ni ya kwake.
Akidanganyika na kuivunja kabla ya ndoa lawama ni za kwake.
 
Ww mbona umenushambulia kwa kunii ta mpumbavu?
Kwa hiyo tangu uzaliwe hujui dushe la mwanaume?acha zako ww.
😂😂😂 mie sikuku shambulia, ila nilisema kadri ya comment yako, kati ya hao wadada na wewe basi inaonesha wewe ndio mpumbavu, kasome tena ile comment yako.
 
Suala la bikra mwanaume asilaumiwe wala hana wajibu huo. Wajibu ni kwa binti na wazazi wake. Nilipata binti fresh kabisa Nia ilikuwa positive kilichoendelea ni maasikitiko alianza kupea kila aliyewahi kumtongoza nikafuma SMS jamaa moja linalalamika kwa nini hakuikuta bikra demu akajibu ati wenzako wamekuwahi nikapiga chini kuanzia hapo sasa ni single mother akajileta tena sikuwa na time naye tena. Sasa akili kama hizi ni za kutetea kweli?.
Mabikra wengi wana wenge na ikisha tolewa ndipo ujinga unaanzia kwa waliowahi mtongoza.
 
Back
Top Bottom