Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Ni hivi mkuu. Mwanaume wa namna hio Mimi simuungi mkono hata kidogo Kwasababu ni hatari Kwa jamii yote lakini pia mwanamke anapaswa kujua wanaume sisi ni waongo hili swala ni la mzazi kumshauri mtoto wake na inawezekana kabisa bila shida yeyote ile
 
Wanaume aina yako mnahesabika
Heshima yako mkuu tangu mwanzo ulielewa mada na kujaribu kuwaelewesha wengine ila hawataki

issue inayotesa jamii yetu ni mfumo dume hakuna kingine

Kuna msemo ulisema huko juu kua kila mwanaume anataka kumgusa mwanamke ila hataki wa kwake aguswe

Kwa msemo huu huoni ubinafsi umezidi?
 
Zamani wa kulaumiwa ni sisi wanaume...
Siku hizi unaweza kuta wametoana wenyewe kwa wenyewe, au kwa kutumia midoli...

Cc: Mahondaw
 
Ndugu mleta mada unataka kusema nini labda?
Tunza bikra yako, mbona hulalamiki tukiwapongeza wanawake walioolewa na bikra.
 
Wanawake waliolewa wakiwa bado BIKRA waulizwe waliwazaje
Kingine je wanawake huwa wanaambiwa umuhimu wa kutunza bikra na miili yao mpaka usiku wa ndoa ?
 
Ndugu mleta mada unataka kusema nini labda?
Nataka kusema hivi baadhi ya wanaume wenye tabia ya kurubuni mabinti wadogo na kisha baadae wanataka mwanamke bikra wakati uharibufu walifanya wenyewe huko nyuma ni kitu cha ajabu mnoo kwa wenye akili tu lakini
Tunza bikra yako, mbona hulalamiki tukiwapongeza wanawake walioolewa na bikra.
Hakuna malalamiko hapa
Ni tunaongea kujadili ukweli ulivyo

Nashangazwa sana mpaka now nashangaa tu namna mlivyoshupaza shingo na kuhalalisha et binti under age ajilinde na sio nyie muache kuwarubuni
 
Ni hivi mkuu. Mwanaume wa namna hio Mimi simuungi mkono hata kidogo Kwasababu ni hatari Kwa jamii yote
Kwa mujibu wa hili andiko lako,ina maana unakubali kua kuna wanaume wanashare lawama na hao wanawake,
lakini pia mwanamke anapaswa kujua wanaume sisi ni waongo
Mkuu,mtu akitapeliwa kwa maneno ya uongo,anayetakiwa kulaumiwa ni aliye tapeliwa tu au mpaka aliye tapeli? kisheria hapa tapeli ana makosa,
hili swala ni la mzazi kumshauri mtoto wake na inawezekana kabisa bila shida yeyote ile
Ni sahihi kabisa,kila kitu kina anzia kwenye malezi Parenting.
 
Hao sio wanawake ni wasichana, mwanamke hawezi kuumizwa kwa kuitoa bikra yake, sababu bikra ni kitu ambacho lazima kitoke no matter what, mwanamke aache kuwazia pesa na kuzitafuta akaiwazie bikra, lol
 
Ongea na mleta mada, mwambie bikra sio ishu hata kama wanaume wanazungumza kitu gani yeye awapuuze.
 
Ongea na mleta mada, mwambie bikra sio ishu hata kama wanaume wanazungumza kitu gani yeye awapuuze.
Kwani nimesema ni issue
mbona unachekesha mkuu mie sina muda na mwanaume anaeweka kipaumbele bikra naonaga ni aliejikatia tamaa na maisha tumaini pekee lilobaki na ushindi wake ni bikra

Kawaida yangu ni kujenga hoja kuibua mijadala sio kwenye huu uzi tu nina nyuzi nyingi mnoo labda kama ndio kwanza unaniona leo maana JF ni kijiwe kikubwa
 
Hao sio wanawake ni wasichana, mwanamke hawezi kuumizwa kwa kuitoa bikra yake, sababu bikra ni kitu ambacho lazima kitoke no matter what, mwanamke aache kuwazia pesa na kuzitafuta akaiwazie bikra, lol
issue sio kutoka tu, je imetolewa kwenye mazingira yapi ??
Kwanini wanawake huwa wanaset standards kwa wanaume wakuwa nao kwenye mahusiano au kuingia nao kwenye Ndoa ??
 
Binafsi nikikutana na ndugu zangu waliokuwa form 6 au chuo nawaambia ukweli then watajua wenyewe wanavyonitafasiri lakini Mimi ukweli nawaambia kabisa.

Kwasababu kama sijafanya hvy najua kabisa mizigo ntakuja kubeba Mimi sio wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…