Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tanzania ina-host afcon 2027 au na hili hulijuiRais umeanza kuongelea mambo haya! kumbe ni suala la muda utakaa sawa.
Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia
Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi
Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...www.jamiiforums.com
View attachment 3339808
Ilikuwa kosa kubwa Tanzania kupewa uhost wa AFCON, bado hatujitambui.Tanzania ina-host afcon 2027 au na hili hulijui
Haya mambo yanaharibu taswira ya nchi ambayo 2027 in host afcon
mkuu wale ni Mbumbumbu.Ikiulizwa toma 2020 mna kombe? inajibu mhuuu,hamna kombe mhuuuumashabiki wa simba wanachukuliwa kama was€nge yaani kwanza suala la tarehe 8 unagailisha mech kienyeji mishabiki yao inafurahi kama miqundu inakatishwa ticket inafurahi tu dah
Viwanja wanatengaza kwa pesa nyingi lakini ukarabati hauna tija, (no value for money) hivi karibuni tumeshuhudia uwanja wa mkwakwani hauko kwenye viwango nasikia walitenga bilioni 15, wa mkapa bilioni 30 ambao wanakarabati kwa kusuasua utadhani pesa hazijatengwa na kama hazijatengwa kwanini walitangazaIlikuwa kosa kubwa Tanzania kupewa uhost wa AFCON, bado hatujitambui.
Acheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
Wewe na wenzako mkinidharau mnanipunguzia niniDogo Tafuta kazi. Ukipata kazi au pesa utakuwa busy na mambo ya msingi. Ukiona wanakudharau ni sababu unadharaulika. Na wewe kwa hi threads wacha wakudharau huna akili,. Huna pesa, huna kitu. Upo tu hivyo. Mambo ya mikia kila siku kuwakuza humu tumechoka. Yanga Bingwa 2025.
Wewe na wenzako mkinidharau mnanipunguzia nini
Huyo dogo msamehe ana msongo wa mawazo sana. Hana kazi analelewa na kijana mmoja dereva wa bodaboda ndo anakaa naye akimtunza. Mwelewe tu namjua ni Yanga mwenzanguAcheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
Maana daah sio kwa mapovu kila dkkHuyo dogo msamehe ana msongo wa mawazo sana. Hana kazi analelewa na kijana mmoja dereva wa bodaboda ndo anakaa naye akimtunza. Mwelewe tu namjua ni Yanga mwenzangu