Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia
Mamlaka gani tena wakati sisi ndio wenye mamlaka? Uwanja wa Amaan ni mdogo, hauna category nyingi za majukwaa kama Mkapa, so lazima tuweke viingilio kwa category tatu badala ya tano. Mgombea urais ulitakiwa uwe na ufahamu wa mambo kama haya
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yanga mwenzangu crips ndo nini? Muwe kabla hamjaandika mnatupa sisi wenye akili tu edit. Unafanya wote tuonekane vilaza. Kabla hujapost kitu omba watu wenye Elimu au akili wakusaidie kuandika ulichotaka kusema.
Ana maana clips ndio maana kaandika Crips.Msamehe huyo ni wale wale wa "I love you injinia Hersi".
 
Ana maana clips ndio maana kaandika Crips.Msamehe huyo ni wale wale wa "I love you injinia Hersi".
🤣🤣🤣 NDO HAWA HAWA NA GROUP LAO LA I LOVE INJINIA HERSI.

Halafu alivyo mpumbavu anakomaa eti crips anaona sisi ndo tumechemka. Sasa huyu akukute sehemu unamkosoa Hersi. Huwa anatukana na anaweza kukupiga mawe. Unamwona anatoa macho kama anataka kufa huku akitoa povu kama mgonjwa wa kifafa. .. anapapatika kama anataka kufa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mamlaka gani tena wakati sisi ndio wenye mamlaka? Uwanja wa Amaan ni mdogo, hauna category nyingi za majukwaa kama Mkapa, so lazima tuweke viingilio kwa category tatu badala ya tano. Mgombea urais ulitakiwa uwe na ufahamu wa mambo kama haya
Huyo mgombea urais tawi la yanga la WE LOVE YOU INJINIA.
 
Back
Top Bottom