Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

Msiwalaumu Simba wakulaumiwa ni serikali ya CCM maana uwanja kipindi kirefu tu umetangazwa hauna sifa zikatolewa billion 3 kuukarabati Hali ya uwanja Bado mbaya mpaka inafika CAF kuufungia Kwa mara ya pili ndio viongozi wa serikali ya CCM wanaanza kuhaha Kila siku ziara uwanjani utafikir siku zote walikuwa hawana taarifa
Ni bil30 sio 3
 
Maana daah sio kwa mapovu kila dkk

Mimi nawajua Yanga wenzangu ambao wana stress wapo kama wanne humu. Walishanitoa kwenye group lao ambalo wameliita WE LOVE YOU INJINIA HERSI. hapo nikaona hamna watu. Yaani wanaume wanaandika hivyo kwa mwanaume. Nliwakatalia kuwa hilo jina la group ni la kichoko. Wakawa wakali ndo kunitoa.

Sisi wanaume huwa hatuwi wafuasi hata siku moja. Tuna misimamo imara.
 
Duu group linaitwa I love you Injinia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Yes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.
 
Ukishajua timu ime jaa mbumbumbu ni kutumia u mbumbumbu wao kujinufaisha .
Utopoloni mwenye akili ni mzee Magoma tu,wengine wote ni mataahira,wanashindwa kuhoji viongozi wao mambo ya Msingi wao kutwa nzima ni kufuatilia mambo ya Simba tu ambayo kwao hayana faida yoyote ile zaidi ya kujifariji kwa kutolewa makundi
 
Acheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
😂😂😂vimeamliwaje wakati vinaenda kuinua boma la mangungu na kuomgeza chemicals kwenye kiwanda cha Mo protec soap😂.

Nyie mbumbu hampaswi kuambiwa chochote ushafamu we mbumbu in voice of...
 
Yes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.
Labda kwa mfano unamkosowa Eng Hersi katika lipi ili tukupime kama una hoja au ni walewale tu?
 
😂😂😂vimeamliwaje wakati vinaenda kuinua boma la mangungu na kuomgeza chemicals kwenye kiwanda cha Mo protec soap😂.

Nyie mbumbu hampaswi kuambiwa chochote ushafamu we mbumbu in voice of...
Sasa mbona mnapiga kelele humu nyie mazuzu....kumbe mmejua hayawahusu...
Hilooooooo....pyuuu
 
Kwa ujinga huu, kunawakati nawaza kuanzishwe chama Cha kutetea mashabiki lakini nikiwaza vizuri zaidi nagundua ni kuwaanzishia watu ulaji kama vilivyo vyama vya wafanyakazi.
 
Yes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.
Mbona unatunga uongo mimi na hayo magroup wapi na wapi
 
😂😂 Mpk aibu .....muulizeni yule kilaza aliyewadanganya anaenda fifa na crips za mkapa stadium😃. Bata nyie
Yanga mwenzangu crips ndo nini? Muwe kabla hamjaandika mnatupa sisi wenye akili tu edit. Unafanya wote tuonekane vilaza. Kabla hujapost kitu omba watu wenye Elimu au akili wakusaidie kuandika ulichotaka kusema.
 
Nilishapuuza kujibu mashoger na mabumunda kama ww... Sasa km hujui hta crips ni nn😂😂
 
Back
Top Bottom