Ni bil30 sio 3Msiwalaumu Simba wakulaumiwa ni serikali ya CCM maana uwanja kipindi kirefu tu umetangazwa hauna sifa zikatolewa billion 3 kuukarabati Hali ya uwanja Bado mbaya mpaka inafika CAF kuufungia Kwa mara ya pili ndio viongozi wa serikali ya CCM wanaanza kuhaha Kila siku ziara uwanjani utafikir siku zote walikuwa hawana taarifa
Maana daah sio kwa mapovu kila dkk
Njaa mbaya hasira za njaa anatafuta pa kuzitolea yupo na wenzie... Wanashinda pale jangwani au kwenye korido za GSM daily ndo makomandoo wetu haoπ€£Maana daah sio kwa mapovu kila dkk
Usikasirike, wape taarifa.Acheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
Duu group linaitwa I love you Injinia π€£ π€£ π€£ π€£Mimi nawajua Yanga wenzangu ambao wana stress wapo kama wanne humu. Walishanitoa kwenye group lao ambalo wameliita WE LOVE YOU INJINIA HERSI. hapo nikaona hamna watu. Yaani wanaume wanaandika hivyo kwa mwanaume. Nliwakatalia kuwa hilo jina la group ni la kichoko. Wakawa wakali ndo kunitoa.
Sisi wanaume huwa hatuwi wafuasi hata siku moja. Tuna misimamo imara.
Yes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.Duu group linaitwa I love you Injinia π€£ π€£ π€£ π€£
Utopoloni mwenye akili ni mzee Magoma tu,wengine wote ni mataahira,wanashindwa kuhoji viongozi wao mambo ya Msingi wao kutwa nzima ni kufuatilia mambo ya Simba tu ambayo kwao hayana faida yoyote ile zaidi ya kujifariji kwa kutolewa makundiUkishajua timu ime jaa mbumbumbu ni kutumia u mbumbumbu wao kujinufaisha .
HahahahaAcheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
Kabisa kabisa.Ilikuwa kosa kubwa Tanzania kupewa uhost wa AFCON, bado hatujitambui.
πππvimeamliwaje wakati vinaenda kuinua boma la mangungu na kuomgeza chemicals kwenye kiwanda cha Mo protec soapπ.Acheni uzwazwa mmejua viingilio vya kwanza vimeamuliwaje? Na je umeambiwa huyo alietoa kama anaenda wamekubalianaje?
Acheni uzuzu na kujiona wajuaji...
Nyie pambaneni na propaganda ndo mnazoziweza..
Labda kwa mfano unamkosowa Eng Hersi katika lipi ili tukupime kama una hoja au ni walewale tu?Yes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.
Sasa mbona mnapiga kelele humu nyie mazuzu....kumbe mmejua hayawahusu...πππvimeamliwaje wakati vinaenda kuinua boma la mangungu na kuomgeza chemicals kwenye kiwanda cha Mo protec soapπ.
Nyie mbumbu hampaswi kuambiwa chochote ushafamu we mbumbu in voice of...
ππ Mpk aibu .....muulizeni yule kilaza aliyewadanganya anaenda fifa na crips za mkapa stadiumπ. Bata nyieSasa mbona mnapiga kelele humu nyie mazuzu....kumbe mmejua hayawahusu...
Hilooooooo....pyuuu
Mbona unatunga uongo mimi na hayo magroup wapi na wapiYes. Yupo ngara, pdidy, denisia roberts na mwingine jina limenitoka. Hawa ukitaka kugombana nao mkosoe hersi watakuvamia watake hata kukuua ndo nilipo wadharau nikaona kumbe ni makapi. Humu huwa wanashindana kuanzisha uzi kisha wanamtumia Hersi link aone.
Kuku wewe...kichwa kama dafu...crips ndo niniππ Mpk aibu .....muulizeni yule kilaza aliyewadanganya anaenda fifa na crips za mkapa stadiumπ. Bata nyie
Yanga mwenzangu crips ndo nini? Muwe kabla hamjaandika mnatupa sisi wenye akili tu edit. Unafanya wote tuonekane vilaza. Kabla hujapost kitu omba watu wenye Elimu au akili wakusaidie kuandika ulichotaka kusema.ππ Mpk aibu .....muulizeni yule kilaza aliyewadanganya anaenda fifa na crips za mkapa stadiumπ. Bata nyie
Nilishapuuza kujibu mashoger na mabumunda kama ww... Sasa km hujui hta crips ni nnππYanga mwenzangu crips ndo nini? Muwe kabla hamjaandika mnatupa sisi wenye akili tu edit. Unafanya wote tuonekane vilaza. Kabla hujapost kitu omba watu wenye Elimu au akili wakusaidie kuandika ulichotaka kusema.
πππ MadafuKuku wewe...kichwa kama dafu...crips ndo nini
Nilishapuuza kujibu mashoger na mabumunda kama ww... Sasa km hujui hta crips ni nnππ