Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Jun 19, 2025 #1 Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,147 Jun 19, 2025 #2 Sure, election bila strong opposition siyo fair game, ni more like a show, si real democracy. Without genuine challengers, it’s just politics acting, hakuna transparency wala justice.
Sure, election bila strong opposition siyo fair game, ni more like a show, si real democracy. Without genuine challengers, it’s just politics acting, hakuna transparency wala justice.
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,804 Reaction score 134,593 Jun 19, 2025 #3 Genius Man said: Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Click to expand... Naunga mkono hoja but it's very unfortunately Tanzania hatuna chama cha upinzani chenye nguvu, ndio maana nimeshauri Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! P
Genius Man said: Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Click to expand... Naunga mkono hoja but it's very unfortunately Tanzania hatuna chama cha upinzani chenye nguvu, ndio maana nimeshauri Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika! P