Bila connection hupati kazi

Pole sana kiongozi, maisha yana mapito mengi
 
Kwa nini maisha yamefikia hali hii ?
Kwa sababu ya nafasi chache za ajira 'rasmi' zisizoendana na ongezeko la watu.

Ukuaji wa kiuchumi usiokwenda sambamba na maendeleo ya kiuchumi ngazi za chini.

Sera ngumu za kiuchumi mfano utitiri wa Kodi (japo Kodi ni muhimu), urasimu usio na lazima unaominya mitaji midogo na kuzorotesha ajira zisizo rasmi.
 
Miaka yetu tulimaliza chuo na kuingia kazini. Ila sasa hivi waalimu kibao mtaani hawana ajira
.
Ooh hiyo ni hali ya mapito tu hali hii si mala ya kwanza Tz kutokea hata kipindi cha utawala wa mkapa walimu walihitimu vyuo waakaa mtaani sana tu JK ndie akaja okowa jahazi

Serikali ikiamua wachukua hao walimu ni miaka miwili tu wanaisha wote
 
Hela ina create strong connections kama pia una good character ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚.. Maana unaweza kuwa na hela alafu una bad character
Nimekupata
Pesa ina nguvu ila sio kila mahali bruh mtu hana character wala uwezo ila unamkuta kapewa kitengo na uwezo wa pesa anao ila hajatoa kitu ni KoNneCtion tu ๐Ÿ˜ƒ
 
Nimekupata
Pesa ina nguvu ila sio kila mahali bruh mtu hana character wala uwezo ila unamkuta kapewa kitengo na uwezo wa pesa anao ila hajatoa kitu ni KoNneCtion tu ๐Ÿ˜ƒ
Character huwa zinawatoa walipo wekwa au ku stuck sehemu flani milele na milele, achana na kitu kinaitwa rank, kuna sehemu kubebwa hakubebeki tena inabaki character tu ndio mtetezi wako
 
Uamuzi mujarabu kabisa ulichukua nakupaje hela bila kazi, huyo alikuwa mbwekaji
 
๐๐จ๐ฅ๐ž ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ฆ๐›๐ž ๐ง๐๐ข๐จ ๐ข๐ค๐จ ๐ก๐ข๐ฏ๐ข?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐–๐š๐ง๐š๐œ๐ก๐จ๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฌ๐ข๐จ ๐ค๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐š๐ฌ๐ž๐ž!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ