Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Kwa hiyo kutangaza mazuri ya mama wewe unateseka nini? [emoji13][emoji13]

Ukitaka yasitangazwe au? Jinga kabisa.

Tangaza mabaya basi ufurahi.
Tatizo sifia sifia nyie tukiwaruhusu mtakuja kuyafanya ya magufuli mlivyomuita Magufuli Muheshimiwa Mungu. Na Yule mkata viuno akamuita Yesu.
Sasa Nani jinga pro max chawa aliemuita Magu Yesu au mi nisiyetaka ma pro max mdemshe majimavutu yenyu

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Humo humo kuna tozo za simu humo humo kuna tozo za Luku
Harafu unaleta unafiki


magufuli hakutoza hizo
Kikwete hakutoza hizo
Mkapa hakutoza hizo


Kimberembere kibaya Sana

Chawa kama chawa

Chawa mpya huyo
 
Huo ujinga ulizikwa Chato usituletee uchuro hapa.
 
Ukiacha wengine wala yakhe..Ni hivi hao BoT bado wako kwenye mawazo ya kipindi cha mwendazake ambapo uchumi ulikuwa stagnant..

Sasa saizi uchumi unafunguka pesa inarudi mtaani wakiendelea kweka riba ndogo wakati inflation inatakiwa iongezeke Ili uchumi ufufuke itawamala Mzee..

Lazima inflation iongezeke but iwe chini ya 9 Ili kuchipua uchumi.Kwa taarifa Yako sio Kila inflation ni mbaya,Muulize Kimei atakufundisha..

Kwa Nchi maskini kama Tzn ku maintain inflation ya chini ya 5% ni kutaka watu wazidi kuwa maskini ndio maana unaona miaka 6 ya Magu hakuna cha maana amefanya kukamilika growth rate ya uchumi ilianguka below 4%..

Enzi ya JK uchumi ulikuwa Kwa 7% plus inflation was higher than 5% but below 9% au relatively ni single digit ..

Kama hujui uchumi umekariri neno inflation usichangie hizi mada ndio maana mlikuwa mnapora wafanyabiashara Kwa sababu uchumi ulianguka.

Afu ukiona Bongo pagumu hamia huku ukaone moto 👇

 
hapo ukitoa kodi za dhuluma na tozo tunazotozwa ni aibu tupu, ni bora mngekaa kimya tu kuliko kujisifia ujinga wa kuwakandamiza wananchi wenu
Hujui kitu wewe kima Baki na kamasi zako kichwani..

Umeambiwa mara kadhaa hakuna tozo inaenda kwa TRA huelewi kwa sababu ya chuki na wivu.
 
Makampuni ya simu yanalia mapato yameshuka kwa kiwango cha kutisha,mawakala wanalia biashara yao imeshuka,watanzania ni watu wakimya sina,ila wanaugulia moyoni maumivu haya
Yanakulilia wewe au? Si mlikuwa mnasema ooh m pesa zitafungwa tuonyeshe kibanda hata kimoja kilichofungwa Kisa tozo.

Hapa Airtel na Halotel wanazidi kuchanja mbuga 👇



 
Mi-ishirini tena kwA mama au sio..😆😆

Effinnn clowns...ebu adjust Hayo makusanyo kwA inflation rate ya sasa hivi ,uone mmekusanya sh ngapi kama ingekua mwaka Jana ,hata rudi nyuma miaka 10



Kasi ya chawa haishikiki humu ndani,,,alafu nahisi wengi ni jinsia KE na wenyewe
 
Unaona sawa vitu kama vifaa vya ujenzi kupanda bei kwa almost 40% in less than 6 month? hauko serious wewe ,unaonekana ni askari wa miguu wa mama
 
Usituone hatujui kusoma,2nd quarter hapo imeisha lini na Tozo zimeanza lini?
Tozo na TRA wapi na wapi? Waambie hao makampuni watoe taarifa za mienendo ya biashara tuone kama wamepata hasara..

Alafu Kazi biashara kuu ya makampuni ya simu ni mawasiliano hii ya miamala ni products mnadala,Azam pesa wameanzisha huduma ya miamala mwezi uliopita unadhani kungekuwa na hasara wangeingia kwenye soko ambalo Lina hasara?

Acha propaganda za makampuni,kwanza huwa nachukia mavyofanya muamala nakuta pesa nyingi wanachukua makampuni afu serikali pesa kiduchu.

Waliotakiwa kushusha gharama ni makampuni sio serikali.
 
Unaona sawa vitu kama vifaa vya ujenzi kupanda bei kwa almost 40% in less than 6 month? hauko serious wewe ,unaonekana ni askari wa miguu wa mama
Hujui kitu Vifaa vya ujenzi vimekuwa na trend ya kupanda kila mwaka baada ya bajeti ya serikali hata kabla ya tozo ya mafuta bei zilikuwa zinapanda hivyo hivyo.

Tuambie lini Vifaa vya ujenzi viliwahi shuka? Kwanza Vifaa sio vyote simenti haijapanda labda nondo na Bati.

Sina uaskari wa mtu mimi naelewa uchumi na nafuatilia Hali halisi ya Uchumi wa Dunia kwa hiyo sishangai vitu kupanda.

Kwa mfano saizi nchi nyingi za ulaya ,Amerika,Asia nk chumi zao zimeanza kufunguka kwa kasi baada ya kudhibiti covid kwa chanjo hivyo demand ya vitu imekua kubwa Duniani hiyo inatuathiri huku ambako sisi ni net importer..

By the way PM alisema watafuta baadhi ya tozo za taasisi kwenye mafuta Ili kufanya bei za mafuta zibakie affordable ila sio tozo muhimu ..
 
Inaonekana ukosefu wa kazi, mfumuko wa bei juu, kodi juu etc ndio uchumi mzuri kwako
 
Nawe unabowa! Bila hata kutafuta CV yako, kwa maelezo haya inaonekana kiwango cha ufahamu au elimu yako kiko chini. Kila wakati unaanzisha thrd za kusifia Samia kama katibu mwenezi wa CCM! Hii nayo ni sifa? Mbona husemi tozo za miamala ktk nchi hii mpuuzi gani mwingine aliwahi weka kitu cha aina hiyo? Nchi gani watu wanalipa kodi kwa kupenda? Unashindwa kuelewa kwamba hii ni nidhani iliyojengwa kwa nguvu fulani, unaishia kusifia eti bila dhuluma. Unawajua wafanyabiashara wewe? Rubbish!
 
Hizo Tozo watu walizopiga kelele kwamba zinaumiza sio unyanyasaji (double taxation)
 
Inaonekana ukosefu wa kazi, mfumuko wa bei juu, kodi juu etc ndio uchumi mzuri kwako
Lini Kazi zilikuwepo? Leta Takwimu za kipindi cha mwendazake tulinganishe na Sasa tuone ..

Mfumuko upi wa bei unaoona kwako una hatarisha uchumi na maisha ya watu? Mfumuko wa bei wenye shida ni kwenye bei za vyakula huko kwingine hakuna shida yoyote.

Kodi gani ziko juu? Ziko juu kulinganisha na wapi?

Tunajenga uchumi wa kama enzi za JK, uchumi wa biashara ambapo wewe na watoto wako mtatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa sio uchumi wa waganga njaa wa machinga..

Uchumi ambao biashara zinatoka sio uchumi ambao watu hawana pesa na biashara haziendi wanaganga njaa badala ya kusogea . Uchumi wa hivyo ni lazima uwe na inflation ya 5% and above..Uliza saizi mafundi mtaani kwamba vipi kazi za ujenzi zinapatikana? Watakupa jibu..

Mlipoaharibu uchumi miaka 6 mlitegemea overnight mambo yatakuwa mazuri? Tena kwa taarifa yako Magu angeendelea uchumi ungeanguka kabisaa na kuwa kama Zimbabwe,kupora pesa kwa watu ilikuwa ni ishara kwamba Hali ya uchumi ilikuwa mbaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…