Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kwa hiyo mama akisifiwa kwa mazuri unateseka Sana jamaa yaani unatamani ashindwe? ππNawe unabowa! Bila hata kutafuta CV yako, kwa maelezo haya inaonekana kiwango cha ufahamu au elimu yako kiko chini. Kila wakati unaanzisha thrd za kusifia Samia kama katibu mwenezi wa CCM! Hii nayo ni sifa? Mbona husemi tozo za miamala ktk nchi hii mpuuzi gani mwingine aliwahi weka kitu cha aina hiyo? Nchi gani watu wanalipa kodi kwa kupenda? Unashindwa kuelewa kwamba hii ni nidhani iliyojengwa kwa nguvu fulani, unaishia kusifia eti bila dhuluma. Unawajua wafanyabiashara wewe? Rubbish!
Mnatumia nguvu Sana kueneza 'sifa' uchwara...Serikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Morogoro. Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumamosi, Oktoba 2, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema makusanyo hayo ni makubwa kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2020.
βTuliweka malengo ya kukusanya Sh2.1trilioni, ukusanyaji huu ni mkubwa ukilinganisha na mwaka jana kipindi kama hiki tulikusanya Sh1.7 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 80 ya malengo tuliyojiwekea ya kukusanya Sh2.2 trilioniβ amesema Msigwa.
Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Nguvu zilitumika kwa Mwendazake saizi ni namba tuu zinaongea bila propaganda πMnatumia nguvu Sana kueneza 'sifa' uchwara...
That's how you do it, sio kunyang'anya watu pesa zao na ubabe usio na msingiBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Hiyo ndiyo nguvu kubwa inayotumika ....hahahaha unadhani huyo unayemwita mwendazake (pengine wewe hutakufa labda utaishi milele) angeweka takwimu Kama hizo Mambo yangekuwaje...na unadhani Kama kungekuwa na mapato ya too za miamala mapato yangekuwaje...kilichopo sasa ni kuwa ukwepaji Kodi unaongezeka na figure za sasa zinazotolewa zikijumuisha mapato ya tozo zinafunika athari za ukwepaji Kodi...Nguvu zilitumika kwa Mwendazake saizi ni namba tuu zinaongea bila propaganda π
View attachment 1962816
View attachment 1962817
View attachment 1962818
View attachment 1962819
Hana Takwimu za kuweka,kama wewe unazo ziweke hapaHiyo ndiyo nguvu kubwa inayotumika ....hahahaha unadhani huyo unayemwita mwendazake (pengine wewe hutakufa labda utaishi milele) angeweka takwimu Kama hizo Mambo yangekuwaje...na unadhani Kama kungekuwa na mapato ya too za miamala mapato yangekuwaje...kilichopo sasa ni kuwa ukwepaji Kodi unaongezeka na figure za sasa zinazotolewa zikijumuisha mapato ya tozo zinafunika athari za ukwepaji Kodi...
Jibu hoja kwamba figure za Sasa zinajumuisha mapato ya miamala...mkitaka suala hili lise wazi weka hapa mapato ya miamala na mapato mengine hapo ndipo utajua mapato halisi bila miamala ni sh. Ngapi...Hana Takwimu za kuweka,kama wewe unazo ziweke hapa
UpuuziBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Jibu hoja kwamba figure za Sasa zinajumuisha mapato ya miamala...mkitaka suala hili lise wazi weka hapa mapato ya miamala na mapato mengine hapo ndipo utajua mapato halisi bila miamala ni sh. Ngapi...
JPM was a genius there is no doubt about it...kwa namna unavyomkejeli bila Shaka wewe ni mkwepa Kodi na una business na ambayo hulipi Kodi..
Mapato ya Sasa bila miamala ni aibu tupu...
Sasa Kuna ujanja na miongoni ni kuchanjaHuo ujinga ulizikwa Chato usituletee uchuro hapa.
Jibu hoja wewe mkwepa Kodi...katika mapato yaliyokusanywa mapato ya tozo za miamala na Kodi za nyumba kupitia luku ni sh. Ngapi na mapato mengine sh. Ngapi? Hapana shaka figures za mapato mengine zitakuwa ni aibu kubwa....wakwepaji Kodi wanaongezeka sasa..Hana Takwimu za kuweka,kama wewe unazo ziweke hapa
mpaka sasa ni wafanya biashara wangapi ambao washarudi mpaka kupelekea makusanyo hayo kupatikanaUnapenda sana kubishana Mkuu,
Mifumo gani inayombeba Rais Samia leo?
Rekodi zinaonesha wafanyabiashara walikimbia sasa kukimbia ndio mfumo wa kumfanya Rais Samia avunje rekodi hizi?
Jifunze jufikiri Kizalendo mkuu wangu,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Mara nyingi huwa sipendi kuhangaika na wajinga,ningekupuuza ila nakusaidia kwa jibu rahisi TRA hakusanyi tozo,mumejibiwa mara nyingi Sana humu na ushahidi juu ila vichwa vina makamasi.Jibu hoja wewe mkwepa Kodi...katika mapato yaliyokusanywa mapato ya tozo za miamala na Kodi za nyumba kupitia luku ni sh. Ngapi na mapato mengine sh. Ngapi? Hapana shaka figures za mapato mengine zitakuwa ni aibu kubwa....wakwepaji Kodi wanaongezeka sasa..
Ninavyoandika message nipo gizani...umeme umekatika for three hours..enzi za unayemwita mwendazake ilikuwa ni nadra umeme kukatika....nadhani nyie wakwepa mnajiandaa kuleta majenereta...bidhaa zinapanda inflation ni juu...
Unabisha??
Kumbe wewe ulitakaje?Sasa Kuna ujanja na miongoni ni kuchanja
Kenge nyie hakuna mnachojua..tufanye miamala ipo kama unavyotaka,ehee kwa hiyo unasemaje sasa maana tayari mapato ni makubwa kuliko kipindi kama hicho under Mwendazake..Jibu hoja kwamba figure za Sasa zinajumuisha mapato ya miamala...mkitaka suala hili lise wazi weka hapa mapato ya miamala na mapato mengine hapo ndipo utajua mapato halisi bila miamala ni sh. Ngapi...
JPM was a genius there is no doubt about it...kwa namna unavyomkejeli bila Shaka wewe ni mkwepa Kodi na una business na ambayo hulipi Kodi..
Mapato ya Sasa bila miamala ni aibu tupu...
Ohoho Mimi ni mjinga...sawa...ila wewe ni mjinga, mshenzi na mpumbavu pamoja...Kama unataka ufafanuzi wa concepts hizi Niko tayariMara nyingi huwa sipendi kuhangaika na wajinga,ningekupuuza ila nakusaidia kwa jibu rahisi TRA hakusanyi tozo,mumejibiwa mara nyingi Sana humu na ushahidi juu ila vichwa vina makamasi.
Wewe ni mpumbavu,concepts gani? Hakuna tozo zinaenda TRA..Ohoho Mimi ni mjinga...sawa...ila wewe ni mjinga, mshenzi na mpumbavu pamoja...Kama unataka ufafanuzi wa concepts hizi Niko tayari
Duh...Kenge nyie hakuna mnachojua..tufanye miamala ipo kama unavyotaka,ehee kwa hiyo unasemaje sasa maana tayari mapato ni makubwa kuliko kipindi kama hicho under Mwendazake..
Genius alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara na kuuzia machinga makaratasi feki eti kitambulidho ππ
Aisee wewe kweli ni a certified stupid and idiot...sasa concepts gani ulizoweka hapa..tulikuwa tunajadili Nini na wewe umeweka Nini hapa...stupid guy...Wewe ni mpumbavu,concepts gani? Hakuna tozo zinaenda TRA..
Fafanua basi hizo concepts tukuone ukianza na mchanganuo huu hapa chini π
View attachment 1962880
Kenge wewe hujui kitu unatapa tapa tuu,weka hicho ulichoita conceptsDuh...
Aisee wewe kweli ni a certified stupid and idiot...sasa concepts gani ulizoweka hapa..tulikuwa tunajadili Nini na wewe umeweka Nini hapa...stupid guy...