Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Humo humo kuna tozo za simu humo humo kuna tozo za Luku
Harafu unaleta unafiki


magufuli hakutoza hizo
Kikwete hakutoza hizo
Mkapa hakutoza hizo


Kimberembere kibaya Sana

Chawa kama chawa
Nafurahia kodi hizo kwa sababu SOTE KWA PAMOJA TUNAZILIPA na si wachache wagandamiziwe mzigo wote kisa ni mfanyabiashara YULE JAMAA alinyanganya alidhulumu alitweza watu wengi walifariki matajiri walifululiza kufariki wengine tukidangaywa ni wamekufa kwa malove.EXCELENT WORK OUR PRESIDENT #SSH MAY ALLAH BLESS YOU
 
Humo humo kuna tozo za simu humo humo kuna tozo za Luku
Harafu unaleta unafiki


magufuli hakutoza hizo
Kikwete hakutoza hizo
Mkapa hakutoza hizo


Kimberembere kibaya Sana

Chawa kama chawa
Umesahau huko hakuna interest and penalties na fine za miaka 5 nyuma kutoka kwa wafanyabiashara.

Umesahau huko hakuna akaunti za benki kufungiwa na kuchukua fedha.

Huwa mnataka kina nani walipe kodi?
 
Umewasema mkapa kikwete na magufuli harafu unaanza tena mambo ya Yule jamaa
Yule jamaa ndiyo nani kama siyo unafikitu
 
Ndio kama kuumia tunaumia wote na tunafurahia wote that's excellent,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Wanyonge wanataka kusikia kodi inatoka kwa kundi fulani la watu tu. STUPIDO.
 
MKUU WANGU TOZO SIO KODI,

TUNAPOZUNGUMZIA KODI NI ILE INAYOLIPWA KWA TAX IDENTIFICATION NUMBER ( TIN )


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Humo humo kuna tozo za simu humo humo kuna tozo za Luku
Harafu unaleta unafiki


magufuli hakutoza hizo
Kikwete hakutoza hizo
Mkapa hakutoza hizo


Kimberembere kibaya Sana

Chawa kama chawa
 
Tozo imo au?
 
Kwa spidi hii muda si mrefu tutafikia kukusanya trilion 2.5 kwa mwezi. Mipango ya kiuchumi ya serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia inatoa fursa mzuri kwa wajasiria Mali wakubwa kwa wadogo,wakulima n.k
 
Tafadhali san weka source ya taarifa yako ili twende sawa!
 
 
Katika mapato ni rahisi kukusanya kazi ni katika matumizi. Jaffo alionekana hafai kwa suala zima la matumizi na hata Ummy nae anaonekana kashindwa. Mapato kuna control numbers ambazo ni rahisi kuzifuatilia tofauti na matumizi.
Nakubaliana nawewe maDED lazima wawe ni watu wenye uzalendo sana kwa nchi yao na Mungu wao,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…