Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
Mara gani huo unaouzungumzia. Mbona Sisi tunamkubali
 
Wewe nini kinakuumiza kama jambo ni dogo,

Yaani Mapato ya mwezi kufiki 2T ni jambo dogo?


Anataka ule ujinga wa miaka 5 iliyopita uendelee, jambo dogo tu linatangazwa kama ndiyo mwisho wa dunia!! Mambo aliyoyafanya huyu mother kwa hii miezi 6 ingekuwa awamu pendwa mtaani kusingekalika kwa maandamano ya kupongeza
 
We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
Mkuu ni mtaa wa Ufipa?

Kama ni huku kwetu kila kona ni Samia| Samia|Samia

 
KUWA NA AMANI NCHI IKO VIZURI SANA
Una uhakika?

 
Kesho nitawajibu hii kitu,

naamini kwa uweza wa Mungu mtaelewa vizuri kuhusu ugomvi wa kibiashara uliopo hapo


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
makufuli kakusanya nyingi bila tozo za miamala wa umeme
 
Kama alivyokatiwa dhalimu mwendazake.

We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
 
Huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

Nimnyenyekevu na mpole sana,

Hana majigambo kabisa,

Mungu akulinde Rais wetu

Watanzania tunakupenda sana,
Kiukweli huyu mama ni mpango wa Mungu, nchi ilitawaliwa na ibilisi, ilijaa hofu, unyang'anyi ulitawala, uuaji, mateso, vifungo udini,ukabila, manyanyaso, ubabe,udikteta, uhayawani,ushetani.
Hatimae Mungu ameondoa yote na anetupa furaha na sasa Tumshukuru Mungu kwa Kufanya maombi Juu yake ili mama adumu na azidi kutenda haki.

Kipindi cha miaka 6 ya jpm ilikua ni dhalimu kuliko enzi za musolin na Hitler,
Dunia ilishuhudia kila aina ya unyama ktk nchi ya Tanzania ambako watu wake ni Wema na wanyenyekevu.
 
Miamala na tozo za ktk umeme, hata mie ningekusanya hizo, tena zaidi maana ningeziba magepu ya ufisadi na upigaji...
Bora tozo ya umeme na miamala kuliko unyang'anyi uliolenga wivu na fitna kwa watu wachache.
Sasa kila mtu alipe kodi na kila mtu afanye kazi
 
Srma haikusaidia kuwashawishi NEC kumtangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…