Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
 
Mimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny

Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
 
nilichogundua ni kuwa jamaa ni shabiki mkubwa wa muziki wa kubang, sasa umeona nyimbo zinazo trend za vanny boy sahv ni za soft melody, vinyimbo flan vya kubembeleza na kuliza unaanza kusema sijui hajui muziki... hv pale WCB ukimtoa mbosso nan anamfikia vanny kwa utunzi? hata konde haoni ndani...
we endelea kubang na "gimme dat" km unamkubal katika miondoko hiyo, tuache si na "i love you" zetu, tukitendwa kuna "naogopa" ya kutufariji
 
2019 huwa husikilizi nyimbo, unapenda purukushani kama zipe za baba lao. Kati ya waimbaji binao penda kusikiliza nyimbo zao mmoja ni rayvany pamoja na marombosso na asley, napenda uandishi wao na kila mmoja ana ladha yake kwenye uandishi. Baba lao na uno ni purukushani tuu za kitoto
 
vanny boy kiboko!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20191205-140505.jpeg
 
Mimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny

Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
Rayvanny hana ubunifu wowote, hata mistari yake ni ya kitoto mnoo ndio maana muziki wake haukui.
 
Back
Top Bottom