Fact kakaMimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny
Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
Rayvanny hana ubunifu wowote, hata mistari yake ni ya kitoto mnoo ndio maana muziki wake haukui.Mimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny
Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
Chuchuma yani kama unafuaRayvanny hana ubunifu wowote, hata mistari yake ni ya kitoto mnoo ndio maana muziki wake haukui.
Yes hana kiki,hana mambo mengi ya kufanya apate attention nje ya muziki na hichi ndicho alichowazidi harmonizevany anajua shida hajui kuutafuta u-star