Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
unapenda hizi taarabu ww? mwanaume unapenda mipasho πππ wasani wa hv na mm nitofauti nandio maana napenda hip hop muda wote.vanny boy kiboko!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1282900
ndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajamboHuyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
Wengine dance hallunapenda hizi taarabu ww? mwanaume unapenda mipasho [emoji23][emoji23][emoji23] wasani wa hv na mm nitofauti nandio maana napenda hip hop muda wote.
Bora kujirusha unaenjoy mbona unaweza pata hata mchumba kwa kudance lakini sio kwa mipasho.Wengine dance hall
ndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajambo
HahahahahahahBora kujirusha unaenjoy mbona unaweza pata hata mchumba kwa kudance lakini sio kwa mipasho.
Broh umeongea ukweli mchungu nje ya WCB hana maajabuVanny boy ni mwanamuziki wa kawaida Sana na asijaribu kutoka WCB maana ndio utakuwa mwisho wake. Hana maajabu!
Black coffee ana bet ile yenyewe achana na hiyo bet viewers choice award je black coffee ni bora kuliko diamond? Unajua reyvanny alikuwa anashindanaa na nani kwenye hiyo category? HV Unajua hiyo tuzo aliyochukua vanyboy chibu hajawahi kuwa nominated?Msanii gani kutoka Tanzania yoyote including Simba amewahi kubeba tuzo ya BET aliyonayo Vanny boy?
Aliyochukua vanbony ni bet viewers choice award siyo ile yenyewe ambayo mond aliikosa na mond hajawahi kuwa nominated kwenye hiyo aliyochukua vanndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajambo
Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
Rayvan ni msanii aliyejificha nyuma ya DiamondHuyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
WCB hakuna anaejua kuimba,ni uchawi na ujanja ujanja ndo vinawabeba
wewe unajua?WCB hakuna anaejua kuimba,ni uchawi na ujanja ujanja ndo vinawabeba
Rwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?Aliyochukua vanbony ni bet viewers choice award siyo ile yenyewe ambayo mond aliikosa na mond hajawahi kuwa nominated kwenye hiyo aliyochukua van
Hip-hop za wapi unazopenda wewe Kama hizi za bongo zina tofauti Gani na hizo alizoandika vannboyunapenda hizi taarabu ww? mwanaume unapenda mipasho [emoji23][emoji23][emoji23] wasani wa hv na mm nitofauti nandio maana napenda hip hop muda wote.
Acha upumbavu wewe vanyboy anakuwaje mpinzani WANGU WA kati Mimi NA yeye tuko ktk kada tofauti na kaishia darasa LA pili tunakuwaje wapinzani? MIMI ni msanii? Diamond angewekwa category km ya vany angeichukua BILA utata KWA jinsi anavyokubalika na fanbase aliyonayo cuz KWA east Africa mond hana mpinzaniRwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?
.
Nimeuliza swali ni msanii gani yoyote kutoka Tanzania amewahi kubeba tuzo ya BET including Simba ukimuacha Rayvanny majibu yake ndio hayo
Sasa sijui black coffee kawa raia wa Tanzania lini?
Kamtaja Simba kukosa tuzo, hiyo tuzo ya upcoming artist aliyoikosa diamond Eddy Kenzo aliipata miaka miwili au mitatu baadaye nadhani hii haina maana Kenzo ni mkubwa kuliko diamond na haina maana Diamond angewekwa kwenye category sawa na aliyokuwa vanny angechukua!
.
Wapinzani wa Rayvanny wote ni wakali chuki zinakuua taratibu wewe
ππ kumbe Rayvany ni msanii wa Hip Hop?Hip-hop za wapi unazopenda wewe Kama hizi za bongo zina tofauti Gani na hizo alizoandika vannboy
Hao waimba Hip Hop Za bongo hawana tofauti na wapiga taarebu tu muda wote kujisifia na kuponda wenzao[emoji23][emoji23] kumbe Rayvany ni msanii wa Hip Hop?