Rwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?
.
Nimeuliza swali ni msanii gani yoyote kutoka Tanzania amewahi kubeba tuzo ya BET including Simba ukimuacha Rayvanny majibu yake ndio hayo
Sasa sijui black coffee kawa raia wa Tanzania lini?
Kamtaja Simba kukosa tuzo, hiyo tuzo ya upcoming artist aliyoikosa diamond Eddy Kenzo aliipata miaka miwili au mitatu baadaye nadhani hii haina maana Kenzo ni mkubwa kuliko diamond na haina maana Diamond angewekwa kwenye category sawa na aliyokuwa vanny angechukua!
.
Wapinzani wa Rayvanny wote ni wakali chuki zinakuua taratibu wewe