Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
ndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajambo
 
Kwan jamaa kaongelea mtunzi bora wa nyimbo? Huo utunzi unamsaidia nini? Kifupi jamaa anajitahidi ila sio kwa utukufu wanaojaribu kumpa humu!
Bado anahitaji jitihada zaidi kusonga mbele!
ndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajambo
 
Msanii gani kutoka Tanzania yoyote including Simba amewahi kubeba tuzo ya BET aliyonayo Vanny boy?
Black coffee ana bet ile yenyewe achana na hiyo bet viewers choice award je black coffee ni bora kuliko diamond? Unajua reyvanny alikuwa anashindanaa na nani kwenye hiyo category? HV Unajua hiyo tuzo aliyochukua vanyboy chibu hajawahi kuwa nominated?
 
ndo msanii pekee kutoka wasafiniii alienyakua tuzo ya BET, hata akina mond waliikosa, kingine ambacho hukijui kutoka kwake dogo kwa utunzi wa nyimbo ni hajambo
Aliyochukua vanbony ni bet viewers choice award siyo ile yenyewe ambayo mond aliikosa na mond hajawahi kuwa nominated kwenye hiyo aliyochukua van
 
Ukweli ni kuwa Vanny ni mzuri sema WCB haiwezi ruhusu awe juu ya Boss wake ndo maana hata show hawapati sana. WCB hawawezi fanya makosa kama ya Harmonize
 
Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.

Ww jamaa ni Bureee kabsaa kwa nn husimseme Konde boy anayeiga mpaka sauti ya kuomba kwa Chibudee.
 
Huyu dogo sijawahi kumwelewa amshukuru sana Diamond ndio anampiga tafu. Kila wimbo kamshirikisha kama hajashirikisha basi ujue ni remix. Namshauri ache kubana pua, sisemi nikiwa na maana kuwa najua kuliko yeye? Hapana mimi ni shabiki nitabaki kuwa shabiki hivyo.
Rayvan ni msanii aliyejificha nyuma ya Diamond
 
Aliyochukua vanbony ni bet viewers choice award siyo ile yenyewe ambayo mond aliikosa na mond hajawahi kuwa nominated kwenye hiyo aliyochukua van
Rwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?
.
Nimeuliza swali ni msanii gani yoyote kutoka Tanzania amewahi kubeba tuzo ya BET including Simba ukimuacha Rayvanny majibu yake ndio hayo
Sasa sijui black coffee kawa raia wa Tanzania lini?
Kamtaja Simba kukosa tuzo, hiyo tuzo ya upcoming artist aliyoikosa diamond Eddy Kenzo aliipata miaka miwili au mitatu baadaye nadhani hii haina maana Kenzo ni mkubwa kuliko diamond na haina maana Diamond angewekwa kwenye category sawa na aliyokuwa vanny angechukua!
.
Wapinzani wa Rayvanny wote ni wakali chuki zinakuua taratibu wewe
 
unapenda hizi taarabu ww? mwanaume unapenda mipasho [emoji23][emoji23][emoji23] wasani wa hv na mm nitofauti nandio maana napenda hip hop muda wote.
Hip-hop za wapi unazopenda wewe Kama hizi za bongo zina tofauti Gani na hizo alizoandika vannboy
 
Rwankomezi hivi huyu jamaa nikimtukana au kumdharau kwa kumtema mate nitakuwa nimekosea?
.
Nimeuliza swali ni msanii gani yoyote kutoka Tanzania amewahi kubeba tuzo ya BET including Simba ukimuacha Rayvanny majibu yake ndio hayo
Sasa sijui black coffee kawa raia wa Tanzania lini?
Kamtaja Simba kukosa tuzo, hiyo tuzo ya upcoming artist aliyoikosa diamond Eddy Kenzo aliipata miaka miwili au mitatu baadaye nadhani hii haina maana Kenzo ni mkubwa kuliko diamond na haina maana Diamond angewekwa kwenye category sawa na aliyokuwa vanny angechukua!
.
Wapinzani wa Rayvanny wote ni wakali chuki zinakuua taratibu wewe
Acha upumbavu wewe vanyboy anakuwaje mpinzani WANGU WA kati Mimi NA yeye tuko ktk kada tofauti na kaishia darasa LA pili tunakuwaje wapinzani? MIMI ni msanii? Diamond angewekwa category km ya vany angeichukua BILA utata KWA jinsi anavyokubalika na fanbase aliyonayo cuz KWA east Africa mond hana mpinzani
 
[emoji23][emoji23] kumbe Rayvany ni msanii wa Hip Hop?
Hao waimba Hip Hop Za bongo hawana tofauti na wapiga taarebu tu muda wote kujisifia na kuponda wenzao
Alichoandika van na Hao hip-hop wako Umefatilia hawana tofauti
 
Back
Top Bottom